MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,033
- 64,844
Aisee katika majamaa manyang'au huyu ni namba kwenye zama zetu,
Leo kwenye mahojiano na gazeti moja la nchi hiyo amejisifia kwamba aliwahi kumtupa mhalifu wa utekaji kutoka kwenye helikopta iliyo angani hadi chini. Amesema na hili liwe tangazo kwa viongozi wanaokula rushwa, kama alivyowafanya wauza unga basi viongozi wala rushwa waliopo serikalini wajiandae. Nimefikiria sana juu ya huyu jamaa nikasema Mungu epushia mbali maana tukipata kiongozi wa hivi kwa nchi yenye madili kama Tanzania basi ataondoka na wengi sana.
Chanzo cha habari: Duterte says he tossed kidnapper out of helicopter, threatens to do same with corrupt officials
CC: MSEZA MKULU , kui