simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Je, ikitokea kwa mfano, Buhari huko tuendako akijakataa matokeo, ECOWAS watamg'oa kijeshi? Haki itendeke kwa wote japo sifagilii upuuzi wa Jameh.Kumekucha! Gambia Oyee! Demokrasia Oyee. Vibaka wa demokrasia washindwe.
Thats pure speculation, haijatokea kwa hiyo tusubiri itokee na wala size ya Nigeria isikutishe sana, Boko Haram wenyewe wamewachezesha singeli miaka nenda rudi mpaka majeshi ya Cameroon, Niger na intelijensia za US, Israel na UK zilipoingilia! Ghana, Senegal na Cote D'ivore have a more potent combined Army than Nigeria which has more boots but lacks discipline, religious cracks, corruption and all! It takes more than a countries population size and published GDP to make an effective fighting force; a case in point here is Israel; population ndogo jeshi dogo but very scientific!Je, ikitokea kwa mfano, Buhari huko tuendako akijakataa matokeo, ECOWAS watamg'oa kijeshi? Haki itendeke kwa wote japo sifagilii upuuzi wa Jameh.