Vikosi vya nchi za Afrika Magharibi vimemkamata kamanda mmoja wa cheo cha juu nchini Gambia, na kupata silaha kweye makao ya kibinafsi ya rais wa zamani aliye uhamishoni Yahya Jammeh.
Jenerali...
Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kuendelea na mipango yake ya kujenga ukuta wa urefu wa kilomita 3000 kwenye mpaka kati ya Marekani na Mexico.
Ukuta huo utakuwa na urefu wa kati ya mita 9 na...
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema Marekani inahatarisha usalama wa eneo kwa kuendelea kurundika silaha zake katika nchi hiyo.
Rais Duterte ameituhumu Washington kuwa inatengeneza vituo...
Rais wa Guinea, Alpha Conde amechaguliwa leo kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU), uchaguzi uliofanyika katika vikao vya viongozi wa nchi wanachama vinavyoendelea katika Makao Makuu ya...
Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani ilitaka kuivamia nchi hii mwaka 1991 na 2001, lakini ikashindwa kutokana na kuwa macho na uwezo wa...
January 2017
C H I N A - One Belt One Road Vision- Ethiopia- Tanzania- Zambia
In 1975, China built the $500 million Tanzam Railway from Dar es Salaam in Tanzania to Kapiri Mposhi in Zambia, the...
Raisi wa USA aliyepita Obama amemshambulia Raisi wa 45 wa USA D.Trump kuhusu katazo la kuingia nchini USA kwa raia wa nchi 7 kwa muda wa siku 90 mpaka hapo USA watakapotengeneza mazingira mazuri...
MAREKANI: Waziri wa Ulinzi, ataka gharama za matumizi ya ndege mbili za rais ambazo ni Air Force One and F-35 Joint Strike Fighter yaangaliwe upya. Hatua hii ni baada ya rais pya wa Marekani...
Naona kila nikiisoma habari hii sipati kuelewa inasema Marekani wanailipa pesa Iran mabilioni ya dollar ili tu kuwaachia wafungwa wa kimarekani walioshikiliwa huko
Ni kama Marekani wamekubali...
Jaji wa mahakama jijini Newyork ametupilia mbali pingamizi la Rais Donald Trump la kuzuia wananchi wenye visa ama wakimbizi walioruhusiwa kuingia Marekani kabla hajatia sahihi sheria mpya ya...
Salaam ziwafikie.
Eti ni swali tu. Is it by accident au by design?
Kila ukanda wa Afrika una mgombea wake wa uenyekiti isipokuwa Afrika Kaskazini.
Kuna sheria yoyote inayozizuia nchi za North...
Watu 47 wakiwemo watoto 10 na maharusi waliotoka kufunga ndoa wamefariki dunia na wenginie 22 kujeruhiwa baada ya lori kuacha njia na kutumbukia mtoni huko Madagascar.
Lori hilo lilikuwa...
Mtu uje kuniambia Trump ni ana nia nzuri, nitaomba ukapimwe akili kwanza. Nia ya Trump ni kurudisha nguvu ya Marekani iliyokuwa hapo awali na si kuongeza maendeleo, hivyo waafrika acheni...
Iran imejibu mashambulizi baada ya wairan wawili kuzuiliwa kuingia Marekani kufatia sheria mpya ya Trump. Iran imweka Ban pia kwa Raia wa Marekani hakuna Kuingia Marekani.
Nimeanza kuamini maneno...
Mhubiri wa zamani wa Kiislamu nchini Nigeria, ambaye alioa takribani wake 86 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93.
Mohammed Belo Abubakar, maarufu kama Baba Masaba, amefikwa na mauti akiwa...
Yahoo news and Fox News Ina report watu wengi wa iran na Iraq na nchi za waslam wengi wamekwama transit na ticket zimefutwa .ATF wameomba Airline yoyote kutokubali mtu yoyote kupanda ndege ambayo...
Shirika la habari la Aljazeera kupitia kwa mwandish wake mjini S.Carolina, limemnukuu Rais D.Trump akisema "we aim to put radical islamic terrorist out of United States. We don' want them here. We...
Watu wengi wameshangaa sana licha ya kuwa rais lakin bado fb na twiter acc za trump anazitumia kufikisha taarifa muhimu!!!!!!!! Nilichogundua ni kwamba vyombo vya habari havipo upande wake na...
Rais Duterte wa Ufilipino amelituhumu Jeshi la Polisi nchini humo kuwa limejaa Rushwa na linakwamisha harakati za serikali yake katika kupambana na wauza mihadarati.
Kutokana na hilo, Rais...
One American commando was killed and three others were injured in a fierce firefight early Sunday with Al Qaeda terrorists in central Yemen, the US military said. In the first counterterrorism...