Kamanda wa Jammeh akamatwa Senegal

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,621
8,411
Vikosi vya nchi za Afrika Magharibi vimemkamata kamanda mmoja wa cheo cha juu nchini Gambia, na kupata silaha kweye makao ya kibinafsi ya rais wa zamani aliye uhamishoni Yahya Jammeh.

Jenerali Bora Colley, mkuu wa kikosi maalum alikamatwa katika nchi jirani ya Senegal.

Vikosi vya kikanda pia vimevamia nyumba ya bwana Jammeh iliyo kijiji mwao eneo la Kanilai na kupata silaha.

Jenerai Colley alikuwa kamanda wa zamani wa kambi ya jeshi ya Kanilai ambapo Jammeh alikuwa na mpango wa kahamia akistaafu, kabla ya kulazimishwa kukimbilia uhamishoni kwa kukataa kushindwa kwenye uchaguzi wa Disemba mosi mwaka 2016.

Walinzi wanne wa mke wa Jammeh, Zainab, pia nao walikamatwa kwenye mji wa mpaka wa Karang nchini Senegal.

Vikosi vya kikada vimekuwa vikimsadia Raia Adama Barrow kuchukua hatamu za uongozi, katika taifa hilo dogo la Afrika Magharibi tangu bwana Jammeh akimbilie uhamishoni zaidi ya wiki moja iliyopita.

Chanzo: BBC/Swahili
 
Unaweza kuwa na taarifa juu ya sababu za kukamatwa kwa hawa watu?

Silaha zilizokamatwa ni haramu ama vipi?

Inanipa tabu kidogo kuelewa kwamba jammeh ameondoka mbele ya macho yao, tena wakimsindikiza na alikokwenda wanafahamu. Huyo ndiye haini. Kumwacha Jammeh aende zake halafu huku muanze kukamata mke na wafanyakazi wa serikali yake, lazim akuwa na makosa waliyofanya, ambayo ni ya kwao binafsi na hayahusini na jameeh.

Vinginevyo, hiki kitakuwa kiini macho. Tunaomba ufafanuzi tafadhali.
 
hata mimi hilo linanishangaza.
Inakuaje barrow wamemuacha wenyewe halafu wanaanza kamata waliokuwa chini yake?
 
Acha wakamatwe na ikibidi wauawe waliigeuza gambia kuwa nchi ya kiisilamu wakati ni mashoga
 
Back
Top Bottom