Unafiki wa Obama - Obama attacks Trump!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,815
Raisi wa USA aliyepita Obama amemshambulia Raisi wa 45 wa USA D.Trump kuhusu katazo la kuingia nchini USA kwa raia wa nchi 7 kwa muda wa siku 90 mpaka hapo USA watakapotengeneza mazingira mazuri ya screening kwa wageni waingiao USA!

Sasa Obama kaja juu kumlaumu Trump, cha kushangaza zaidi Obama mwenyewe alitumia excutive order kama ya Trump na cha ajabu zaidi hii orodha ya nchi siyo Trump aliyoitengeza bali ameikuta ktk kwa Obama, na Obama alitumia excutive order kuzuia Wakimbizi ktk Iraki kuingia USA, leo hii ametoka anamlaumu Trump kufanya aliyofanya yeye!

Barack Obama attacks Donald Trump and says 'American values' are at stake as protesters flood streets across Britain
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom