Defense Secretary Mattis orders reviews of F-35 and Air Force One to cut costs

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
MAREKANI: Waziri wa Ulinzi, ataka gharama za matumizi ya ndege mbili za rais ambazo ni Air Force One and F-35 Joint Strike Fighter yaangaliwe upya. Hatua hii ni baada ya rais pya wa Marekani Donald J. Trump kusema ni gharama kubwa na zinaligharimu taifa.

=========
588c25d0c461883a0f8b456f.jpg

In one of his first actions, Secretary of Defense James Mattis ordered reviews for the Air Force One and F-35 Joint Strike Fighter programs, two projects that President Donald Trump has criticized as wasteful government spending.

On Thursday, Mattis sent two memorandums for Deputy Defense Secretary Robert Work to review the F-35 Joint Strike Fighter program to “determine opportunities to significantly reduce the cost of the F-35 program while meeting requirements.

Mattis also directed Work to compare the capabilities and costs of F-35 to the F/A-18E/F Super Hornet, to determine what improvements can be made “to provide a competitive, cost effective, fighter aircraft alternative.

After Mattis was sworn in by Trump, Pentagon spokesman Captain Jeff Davis released a statement to the DOD website that explained the purpose of the separate reviews was to “inform programmatic and budgetary decisions,” and provide the president with recommendations on critical military capabilities.

This action is also consistent with the president’s guidance to provide the strongest and most efficient military possible for our nation’s defense,” Davis wrote in the statement, “and it aligns with the secretary’s priority to increase military readiness while gaining full value from every taxpayer dollar spent on defense.

The memos did not specify if the review would reduce the number of aircraft that were planned.

In a separate memo from Mattis, Work was ordered to review the Presidential Aircraft Recapitalization (PAR), otherwise known as the Air Force One program, to “substantially reduce the program’s costs while delivering needed capabilities.

Mattis said the review of the PAR program should “identify specific areas where costs can be lowered,” including “autonomous operations, aircraft power generation, environmental conditioning [cooling], survivability, and military/civilian communication capabilities.

Before taking office, Trump criticized the budgets of both the F-35 Joint Strike Fighter program and PAR program, which he promised to reduce.

The government contracts to build two new Air Force One planes were expected to cost $4 billion by 2024, while the F-35 Joint Strike Fighter program has been criticized as one of the most expensive weapon systems ever created, with an estimated cost of $1 trillion for 2,457 aircraft by 2038, according to the Government Accountability Office.

Following a tweet that Trump posted calling costs for the Air Force One planes “out of control,” Boeing CEO Dennis Muilenburg met with Trump and promised he would build the planes for less.

Trump also tweeted about the contracts that Lockheed had with the government over the construction of F-35, saying, “Billions of dollars can and will be saved on military.

After their meeting at Trump Tower in New York, Lockheed Martin CEO Marillyn Hewson said that he would not only work to make the fighter jets at the “lowest possible price,” he would also plans to add 1,800 jobs at its plant in Fort Worth, Texas, where the F-35s are built.

Source: Russia Today
 
Sasa kama Trump mwenyewe na mihela yake yote ktk serikali yake anabana matumizi, mbona sisi tukibana watu wanapiga domo??
 
Sasa kama Trump mwenyewe na mihela yake yote ktk serikali yake anabana matumizi, mbona sisi tukibana watu wanapiga domo??[/QUO
TE]
ndiyo hadi ajira mmeamua kupeana makada wa ccm tu?
 
Sasa kama Trump mwenyewe na mihela yake yote ktk serikali yake anabana matumizi, mbona sisi tukibana watu wanapiga domo??
Mmebana matumizi gani mkuu nyinyi na tz yetu????
Kodi inayokusanywa inaenda wapi mbna Hamna uwaz wa mambo????
 
Hoja si kubana matumizi kwani kazi ya kupanga matumizi au mapato si kazi ya Trump au James Mattis na ndio maana plate namba za magari ya rais ,makamu wake,waziri wa mambo ya nje na waziri wa ulizi yameandikwa "TAXATION WITHOUT REPRESENTATION" kazi ya kupanga matumizi ni kazi ya U S Congress na unaweza kwenda jela miaka 15 kwa unauthorised operation without congressional approval

Hoja hapa ni gharama ya hii midege kuongezeka kila kukicha na project cost pekee ya F 35 ni zaid ya 1.508 inakweda kwenye 2 Trillion usd wakati ndege moja ni 98 - 104 milion usd mpaka inafika nchini kwako bahati mbaya ya hii midege ya 5 generation kadri linavyokuwa kwenye OPS ndo gharama zinaongezeka na wataalamu wanasema gharama ya kuirun F- 35 moja kuanzia OPS na maintenace services kwa miaka 5 ni kati ya 12 -15 milion usd na inatakiwa angalau kwa wiki iwe angani japo masaa 3 mala mbili kwa wiki huku kwa saa moja F 35 Ikiwa angani gharama yake ni $42,200 Ops cost sasa piga masaa 6 kwa wiki wanayosema itakuwa ni $ 126,600 kwa wiki na hii ni gharama ya ndege moja tu

US wamepanga kuwa na ndege hizi 1,763 japo mpaka sasa Lookhead martin wametengeneza ndege 200 tu mpaka mwezi wa kwanza mwaka huu kingine mpango wa kutengeneza ndege hz ulikiwa ni Joint Strike Fighter program na walikubaliana kushere development program nchi hzo ni The United Kingdom, Italy, Australia, Canada, Israel , Norway, Denmark, the Netherlands, na Turkey bad newz ni
Canada's , Turkey na kuna uwezekano mkubwa nae Australia waka withdrawal from the program na hapo mzigo mkubwa akabaki nao US kwani Israel ni kama anabebwa na US tu so wachangiaji wamebaki kuwa United Kingdom, Italy, Norway, Denmark, the Netherlands tu
 
Kweli tajiri ni tajiri tu.Hizo cost za F35 kwa wiki moja,,,,,,,huku kwetu ni bajeti ya mwaka mzima ya shule ya bweni ya serikali!
 
Sasa kama Trump mwenyewe na mihela yake yote ktk serikali yake anabana matumizi, mbona sisi tukibana watu wanapiga domo??
Ni Tanzania pekee mtu analipwa mshahara mkubwa kwa kucopy na kupaste mawazo ya watu wengine..tusiige kila kitu.
 
Sasa kama Trump mwenyewe na mihela yake yote ktk serikali yake anabana matumizi, mbona sisi tukibana watu wanapiga domo??
Tatizo hizo pesa unazosema una ziokoa mbona hazionekani zinafanyia kazi gani?? Hospital hali ni ile ile, wanaokudai huwalipi, kila siku tunasikia unaendelea kukopa tu!! Lazima watu washangaeee!! Waheshimu sana watu walioweka neno BUDGET!!!! kuendesha vitu kimzuka hata kama ni familia yako tu ndani utachemsha sembuseee li County bwana!!
 
Hoja si kubana matumizi kwani kazi ya kupanga matumizi au mapato si kazi ya Trump au James Mattis na ndio maana plate namba za magari ya rais ,makamu wake,waziri wa mambo ya nje na waziri wa ulizi yameandikwa "TAXATION WITHOUT REPRESENTATION" kazi ya kupanga matumizi ni kazi ya U S Congress na unaweza kwenda jela miaka 15 kwa unauthorised operation without congressional approval

Hoja hapa ni gharama ya hii midege kuongezeka kila kukicha na project cost pekee ya F 35 ni zaid ya 1.508 inakweda kwenye 2 Trillion usd wakati ndege moja ni 98 - 104 milion usd mpaka inafika nchini kwako bahati mbaya ya hii midege ya 5 generation kadri linavyokuwa kwenye OPS ndo gharama zinaongezeka na wataalamu wanasema gharama ya kuirun F- 35 moja kuanzia OPS na maintenace services kwa miaka 5 ni kati ya 12 -15 milion usd na inatakiwa angalau kwa wiki iwe angani japo masaa 3 mala mbili kwa wiki huku kwa saa moja F 35 Ikiwa angani gharama yake ni $42,200 Ops cost sasa piga masaa 6 kwa wiki wanayosema itakuwa ni $ 126,600 kwa wiki na hii ni gharama ya ndege moja tu

US wamepanga kuwa na ndege hizi 1,763 japo mpaka sasa Lookhead martin wametengeneza ndege 200 tu mpaka mwezi wa kwanza mwaka huu kingine mpango wa kutengeneza ndege hz ulikiwa ni Joint Strike Fighter program na walikubaliana kushere development program nchi hzo ni The United Kingdom, Italy, Australia, Canada, Israel , Norway, Denmark, the Netherlands, na Turkey bad newz ni
Canada's , Turkey na kuna uwezekano mkubwa nae Australia waka withdrawal from the program na hapo mzigo mkubwa akabaki nao US kwani Israel ni kama anabebwa na US tu so wachangiaji wamebaki kuwa United Kingdom, Italy, Norway, Denmark, the Netherlands tu
Watu.mnajua aisee
 
Back
Top Bottom