marufuku kuuza ticket ya ndege kwa nchi ambazo zimepigwa marufuku kuingia USA

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Yahoo news and Fox News Ina report watu wengi wa iran na Iraq na nchi za waslam wengi wamekwama transit na ticket zimefutwa .ATF wameomba Airline yoyote kutokubali mtu yoyote kupanda ndege ambayo itapita USA .Wa iran kibao wapo Amsterdam na wengi wamekwama .Trump huyo
 
Mwarabu ni mwendawazimu..haiwezekani mtu anawahifadhi ndugu zako,wengine wanasema ndugu zao ktk imani halafu unamletea vurugu nyumbani kwake,lazima atakufukuza kama mbwa mwizi maana nidhamu huna.waarabu weusi naomba msini-quote sitawajibu.
 
waje tu huku kwetu huku tz,congo,zambia,msumbiji huwa hatunaga hiyana hata kwa kuokota makopo watakuwa wajiajiri
 
They should rethink that executive action on immigration.

It's good to weed out the bad dudes but I'm afraid some innocent people will also get caught in the mix.

Not good.
 
Tatizo kubwa la binadamu ni unafiki, sijawahi kusikia raia wa Marekani amejiripua na kuua ,kujeruhi au kuharibu mali huko wanakozuiwa wasiende kama wafanyavyo waliobisha hodi wakakakaribishwa.
 
Tatizo kubwa la binadamu ni unafiki, sijawahi kusikia raia wa Marekani amejiripua na kuua ,kujeruhi au kuharibu mali huko wanakozuiwa wasiende kama wafanyavyo waliobisha hodi wakakakaribishwa.
Unauhakika na unachokinena?
 
Hakika, najua utakimbilia majeshi yalioko sehemu mbalimbali duniani, swala hapa ni wahamiaji.
 
Huyu mzee Trump anatembea kwenye manenoyake, ngoja tusubiri muda utatuambia kitakacho tokea.
 
Back
Top Bottom