Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 880
- 937
Shirika la habari la Aljazeera kupitia kwa mwandish wake mjini S.Carolina, limemnukuu Rais D.Trump akisema "we aim to put radical islamic terrorist out of United States. We don' want them here. We must protect oure people". Baada ya kulizwa kwanini nchi zote 7 alizopiga marufuku raia wake kuingia Marekani ni za Kiislam.
Kwa tafsiri ya kawaida Trump amesema "tumedhamiria kuondoa magaidi nguli wa kiislam na kuhakikisha wanakuwa nje ya Marekani, hatuwataki hapa. Lazima tulinde watu wetu"
My Take:
Trump anakosea kuhusisha ugaidi na uislam. Na asipobadilika anaweza kuzorotesha hali ya usalama badala ya kuimarisha. Uislamu kama dini zingine,hauna uhusiano wowote na Ugaidi. Magaidi wanaotumia Uislamu ni wahalifu tu walijificha kwenye kichaka cha Dini. Uislamu haufundishi ugaidi. Wanaomshauri Trump wampe ushauri juu ya athari zake. Asidhani na nchi hzo 7 zitamuacha. Tena nasikia Iran nao wanametangaza kuzuia wamarekania kuingia kwao.