Mbiu ya mtu mzima (Mmarekani)

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
2,007
7,118
Habarini wana jamvi

Asikwambie mtu kwa hili linalotokea marekani anaugulia kimya kimya kwasababu anahamu ya pambano ila ndo kama unavojua tena huyu bwana hapigani bila wapambe wa kumsaidia kubeba mizigo yaani yeye bila washirika wake kama uingereza yeye hapigani ataishia kutoa mikwara tu

Mara apite na msumeno mara apite na viwembe mara visu yaani ilimradi tu akutishie

Sasa safari hii kanoa washirika wake wote wapo kwenye matatizo plus migogoro katika nchi zao

Kwa wale team marekan wanasema sijui mapanki atapigwa wajomba hapo mmenoa kwasababu yule dogo ni anaakili balaa marekani kapiga virada vyake kaishia kuona silaha bandia tu vinu vyenyewe havieleweki vipo wapi

Kama mnakumbuka kuna safari mapanki ashawahi pitisha makombora bandia ya nuklia ile yote ni kumpoteza asimu wao mmarekani ili akijifanya kulipua kwa kustukiza awe amelipua matoyi halafu siku inayofuata kim ayatoe madude yenyewe yasiyoogopa rada wala system ya kupambana na makombora yenyewe yanatoboa tu mpaka washng,,,.

Hakuna chama kinachopenda vita duniani kama republican (chama cha trump) lakini kwa mapanki wamenoa yani dogo hatetereki na haijulikani matoyi kayaweka wapi na vitu original kavitupia wapi

Huu mgogoro marekani anatakiwa kuumaliza kidiplomasia sio kwa kumvizia mwenzie akijisahau amtwange kwa hapo atakua amenoa kwasababu mapanki haeleweki na hatabiriki wanaweza wakampiga kwa kustukiza halafu wakawa wamepiga sehem ambazo hazina umuhimu na ikaja kuleta madhara kwao na dunia kwa ujumla

Peaceful way is better than bloodshed..
 
Uelewa bado sana...una uelewa mdogo sana kwenye haya masuala,..kuna mada znakufaa wew,nenda kwenye majukwaa ya udaku au mapenz.huku utaaibika.
 
habarini wana jamvi


asikwambie mtu kwa hili linalotokea marekani anaugulia kimya kimya kwasababu anahamu ya pambano ila ndo kama unavojua tena huyu bwana hapigani bila wapambe wa kumsaidia kubeba mizigo yaani yeye bila washirika wake kama uingereza yeye hapigani ataishia kutoa mikwara tu


mara apite na msumeno mara apite na viwembe mara visu yaani ilimradi tu akutishie


sasa safari hii kanoa washirika wake wote wapo kwenye matatizo plus migogoro katika nchi zao

kwa wale team marekan wanasema sijui mapanki atapigwa wajomba hapo mmenoa kwasababu yule dogo ni anaakili balaa marekani kapiga virada vyake kaishia kuona silaha bandia tu vinu vyenyewe havieleweki vipo wapi

kama mnakumbuka kuna safari mapanki ashawahi pitisha makombora bandia ya nuklia ile yote ni kumpoteza asimu wao mmarekani ili akijifanya kulipua kwa kustukiza awe amelipua matoyi halafu siku inayofuata kim ayatoe madude yenyewe yasiyoogopa rada wala system ya kupambana na makombora yenyewe yanatoboa tu mpaka washng,,,.

hakuna chama kinachopenda vita duniani kama republican (chama cha trump) lakini kwa mapanki wamenoa yani dogo hatetereki na haijulikani matoyi kayaweka wapi na vitu original kavitupia wapi

huu mgogoro marekani anatakiwa kuumaliza kidiplomasia sio kwa kumvizia mwenzie akijisahau amtwange kwa hapo atakua amenoa kwasababu mapanki haeleweki na hatabiriki wanaweza wakampiga kwa kustukiza halafu wakawa wamepiga sehem ambazo hazina umuhimu na ikaja kuleta madhara kwao na dunia kwa ujumla

peaceful way is better than bloodshed..
Umekula maharage ya wapi!?
 
Back
Top Bottom