Rais wa Korea Kaskazini Atoa Agizo Wakulima Walime Bangi kwa Wingi

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Rais wa Korea Kaskazini Kim Un Jong amewaamuru wakulima wa nchi hiyo kulima bangi kwa wingi. Serikali ya Korea Kaskazini inatumia mafuta ya bangi kwa ajili ya kurusha ndege zisizokuwa na rubani (Drones).
Nchi hiyo inakabiliwa na upungufu wa mafuta kutokana na vikwazo vya uchumi.
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    63.6 KB · Views: 96
Rais wa Korea Kaskazini Kim Un Jong amewaamuru wakulima wa nchi hiyo kulima bangi kwa wingi. Serikali ya Korea Kaskazini inatumia mafuta ya bangi kwa ajili ya kurusha ndege zisizokuwa na rubani (Drones).
Nchi hiyo inakabiliwa na upungufu wa mafuta kutokana na vikwazo vya uchumi.

Hawa jamaa inaelekea wako mbali sana Kitechnolojia, na pia sio nchi masikini sana kama tunavyoaminishwa pamoja na kubanwa sana kiuchumi na vikwazo vinavyoendelea, kumbe na wao wana Drons?
 
Tanzania inayo Gesi
Tanzania inayo dhahabu
Tanzania inayo Tanzanite,Diamond

Tanzania inayo Serengeti,ngorongoro ,sealous nk

Tanzania ina misitu ,kila kitu inayo

Tanzania inayo kila kitu lakini akili zetu zimelala fofofo

Kiduku nchi yake imewekewa vikwazo ,Mali asili hizi hana ,

Lakini anaendesha nchi kwa ubunifu na wamepiga hatua kwenye teknolijia na saizi kupitia bangi wanachukua mafuta yake kutumia kwenye ndege kama njia mbadala baada ya kukosa mafuta

Ase bora Mungu akupe akili kuliko Mali

Hizi madini zenyewe 3% tunachukua sie 97% wao na bado wanakwepa kodi kwa miaka

Kwa mnaomchukia kiduku ,ni bora muichukie nchi yenu waliolala fofofo kuhusu North hawa watu wana akili ase kila wakizidishiwa vikwazo akili ndio inazidi kufunguka
 
Kwani bangi sio mmea? Ulitengenezwa na wavutaji au ? Kwetu ni zao la biashara na pia ni mboga.!
 
Safi sana, wacha sisi vibaraka wa marekani tuendelee kufuata ushauri wa marekani ku illegalize Majani, wakati wao wana i legalize, alafu wakija ruhusu tutumie wao wanakuwa wameshaadvance kwenye matumizi yake alafu watatufundisha na kutuuzia.
 
Back
Top Bottom