Duterte: nitakula maini ya gaid kama yakiungwa kwa pilipili na chumvi

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
543
652
Huyu Jamaa ameibuka na mpya tena, anasema akipata maini ya gaid atayatafuna; na juz hapa alisema watumia madawa ya kulevya nchini mwake ni mazombi ambayo hayatakiwi kuishi na watu
 
Huyu angekuwa huku sijui angeitwaje maana rais mstaarabu kabisa Magu anaitwa dikteta sasa huyu sijui angepewa jina gani
 
Back
Top Bottom