Hivi ni kwanini Donald Trump alimpigia simu Uhuru Kenyatta wa Kenya?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Najaribu kujiuliza na kushangaa, hivi likuaje Rais wa Marekani Donald Trump alimpigia simu Uhuru Kenyatta wa Kenya? Aliona nini Kenya akaacha Tanzania ambapo kama inazaliwa?

Nchi yetu ndio hivi sasa ni kama inatukuka, inamaana jitihada zetu hajaziona tu?
 
Acha upeku peku blaza ...tulia....usipekenyue pekenyue mambo
 
Najaribu kujiuliza na kushangaa, hivi likuaje Rais wa Marekani Donald Trump alimpigia simu Uhuru Kenyatta wa Kenya? Aliona nini Kenya akaacha Tanzania ambapo kama inazaliwa?

Nchi yetu ndio hivi sasa ni kama inatukuka, inamaana jitihada zetu hajaziona tu?
Huyu wa kwetu ni lazima awakilishwe na Ras Simba
 
hujuwi kama Kenya wametuma wanajeshi Somalia kupambana na Al Shabaab. hujuwi kama Al Shabaab inaorodheshwa na Marekani kama kundi la kigaidi? hujuwi kama anayepambana na magaidi yenye kutishia maslahi ya Marekani ni 'mshirika?
Hapa nimekuelewa! Ila hakututendea hali na sisi, huoni kwetu tunaneemeka baada ya Mungu kutuletea chaguo Ukweli?
 
Najaribu kujiuliza na kushangaa, hivi likuaje Rais wa Marekani Donald Trump alimpigia simu Uhuru Kenyatta wa Kenya? Aliona nini Kenya akaacha Tanzania ambapo kama inazaliwa?

Nchi yetu ndio hivi sasa ni kama inatukuka, inamaana jitihada zetu hajaziona tu?
Kwani Trump ni ka mungu?
 
Trump hapendi mazoea ya kijinga,kama ange piga simu tz kesho yake mheshimiwa ange fanya ziara ya kushtukiza Whitehouse...
 
Obama ni pro Raila
Magufuli ni pro Raila
Trump hana namna ila kuwa pro Kenyatta kama ambavyo Lowassa naye ni pro Kenyatta
 
Sio kweli

Trump alivyoingia madarakani alimpigia simu buhari sababu ya boko haram

Akampigia simu Fatah sisi

Na Uhuru sababu ya al shabab na alisaini ndege zipelekwe Kenya

Sidhani kama Trump yupo interested na u-odinga na u-kenyata
 
Back
Top Bottom