Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817

Haya sasa, huyu Mama alipigiwa kampeni Dunia nzima mpaka alipewa Nobel prize, kwa kilichoitwa kupigania haki dhidi Utawala wa Kidikteta wa Kijeshi nchini Myanmar, leo hii anafanya yale yale ambayo Utawala wa Kidikteta wa Myanmar unekuwa ukifanya miaka yote!
Nchi nyingi ziliiiwekea Nchi Myanmar vikwazo kwa Kiuchumi shauri ya huyu Mama Sa Suu Kyi, sasa leo hii Utawala wa Kijeshi wa Myanmar umemteua kuwa sehemu ya Serikali ambayo miaka yote amekuwa akiisema kwamba inaongoza kwa human rights abuse against humanity, leo hii huyu Mama Suu Kyii amekataa ripoti ya UN ambayo inaelezea crimes against humanity zilizofanywa na Serikali dhidi ya raia, izingatiwe kwamba alipokuwa nje ya Serikali ndiye aliyekuwa anakampeni dhidi ya human rights abuse dhidi ya minority huko Myanmar, leo hii anapinga ripoti ya UN!
Somethings never change!
Burma's Aung San Suu Kyi rejects UN Rohingya probe