Warusi wanaandamana kwa amani Kumtaka PUTIN aondoke.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,735
r

Siku ya jumamosi, Msocow na miji mingine Russia mamia ya wananchi wameandamana kumpinga PUTIN na kumtaka Aondoke madarakani.

Hii inatokea wakati putin akijiandaa kwenye uchaguzi wa mwkani lakini waandamanaji wengi waliishia mikononi mwa polisi,..

chanzo:Reuters
Russians, in peaceful protest, call for Putin to quit
 
Wewe sikuamini, maana ni Pro US, sitoshangaa kuelezea mabaya mabaya tu. Hapo katika hizo sioni mtu kupigwa zaidi ya kubebwa tena huku kavaa na miwani yake

Swali, ni juu ya askari wa ulaya kwa ujumla sionagi wakiwapiga watu wao kama huku ?
mkuu mbn hamna nlikosema kuwa askari wa ulaya hawapigi watu!! mkuu television ya taifa ya urusi imeripoti hvyo kuwa mamia wamekamatwa ila wewe unabisha(rusian today) Hundreds detained at unsanctioned opposition rally in central Moscow (VIDEOS, PHOTOS), duh haya bhana mkuu
 
Wewe sikuamini, maana ni Pro US, sitoshangaa kuelezea mabaya mabaya tu. Hapo katika hizo sioni mtu kupigwa zaidi ya kubebwa tena huku kavaa na miwani yake

Swali, ni juu ya askari wa ulaya kwa ujumla sionagi wakiwapiga watu wao kama huku ?
ulisoma jiografia mkuu? Urusi haipo ulaya. ipo bara la Asia.
 
Wewe sikuamini, maana ni Pro US, sitoshangaa kuelezea mabaya mabaya tu. Hapo katika hizo sioni mtu kupigwa zaidi ya kubebwa tena huku kavaa na miwani yake

Swali, ni juu ya askari wa ulaya kwa ujumla sionagi wakiwapiga watu wao kama huku ?
Hawa wa huku elimu ndogo na kutojiamini!
 
Back
Top Bottom