Manowari mpya ya Uingereza kuanza kufanyiwa majaribio leo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,743
2,000
d55124b9a7f5588f64ddaed8524d9136.jpg

HMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwahi kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza ikiwa na uwanja wa ndege wenye ukubwa wa viwanja vitatu vya soka.

Meli hiyo ni kubwa hadi itahitaji kusubiri kushuka kwa viwango vya maji kuweza kupitia eneo la Forth bridges.

Mashua zingine zitahitaji kuisindikiza meli hiyo kutoka ilikotia nanga huko Scotland.

Hata hivyo itachukua miaka kabla ya manowari HMS Queen Elizabeth kuanza kutumiwa na kubeba ndege.

BBC SWAHILI
 
nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,007

sa si ije huku syria ifanye mazoez..wenzake wanachezea kende huku bro kalala
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom