Israel yashambulia Syria kwa mara nyingine tena

Gomez Luna

Senior Member
Mar 13, 2017
187
250
Jeshi la Israel limeeleza kwamba limeshambulia vifaru vya jeshi la Syria baada ya Roketi toka ardhi ya Syria kutua kwenye ardhi ya Israel.

Vifaru viwili vya jeshi la Syria vinadaiwa kuharibiwa na shambulio hilo
d669276483c0e818fb46c04555621c3f.jpg

Jeshi la Israel lilieleza kwamba maroketi kadhaa yalitua kwenye eneo la wazi kaskazini kwa milima ya Golan, lakini hakuna mtu aliyejeruhiwa.
Jeshi la Israel lilisema kwamba tukio hilo halikubaliki maana ni kuhujumu uhuru na usalama wa Israel.
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,836
2,000
Israel huwa haichokozi ila ikichokozwa madhara yake kwa adui huwa ni makubwa. Thamani ya myahudi mmoja ni makumi ya mafilisti na waarabu wenzie. Jamaa katulia kwake kwa upumbavu wenu mnampelekea maroketi mkipigwa mnaanza kulialia kutafuta huruma za kijinga.
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,620
2,000
Kwani zile Radar za Syria hazifanyi kazi hadi F 15 ziruke na kupiga tanks?
Warusi ni wasanii tu.Sasa acha Iran nayo ijitoe ufahamu kwamba inashambulia Israel kwa msaada wa urusi watanyolewa bila maji.Kwanza makombora ya Iran hayana madhara yeyote mpaka sasa ndio yanatumiwa na Hezbullar na Hamasi kushambulia Israel ,na hayajafanikiwa chochote.Yanadakwa na irone dome!
 
ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,743

Hahahaah.... Et kunyolewa bila maji
 
bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
6,704
2,000
Warusi ni wasanii tu.Sasa acha Iran nayo ijitoe ufahamu kwamba inashambulia Israel kwa msaada wa urusi watanyolewa bila maji.Kwanza makombora ya Iran hayana madhara yeyote mpaka sasa ndio yanatumiwa na Hezbullar na Hamasi kushambulia Israel ,na hayajafanikiwa chochote.Yanadakwa na irone dome!
Iran Asijaribu kabisaaa kumpiga Israel, ataleta shida nyingine hapo mashariki ya kati
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Mikwara lukuki, wanachonga mdomo vitisho kila siku, wenzao wanawangonga kidogo kidogo.

Sasa hata asadi ataingiwa na woga.
Asad hatauliwa, maana kuwepo kwake madarakani kwa hali hii kuna surport nchi yake syria kuwa battle ground ya no man's force, no man's enemy.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom