Zile mbwembwe za Netanyahu kuishambulia Iran zimeishia wapi?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,573
Jamani mi nahoji zile ndaru za netanyahu na israel kutishia kuishambulia iran toka mwaka wa 1980 mpaka leo mbona haijawaho kutokea?
Mbona israel hajarusha hata risasi?
Nimeamini israel ni weak state.
 
Akishaishambulia utafaidika na nini????Vita sio kama unavyofikiri ukifanya miscalculation inakula kwako hayo mataifa mawili yakishambuliana middle east kutabaki nyasi na hakuna kati ya hao anayependa vita option ya mwisho iliyobaki kwa kila taifa ni kusubiria lishambuliwe ndio lijibu mapigo
 
Hivi wewe unadhani kufunga kwako kumekurecharge nguvu mpya kwamba sasa unaanza kumchokoza Mungu? Wewe ni lipumbvue kabisa. Hujaui kwamba hata ungelifunga miaka mfululizo hutaweza kumshinda Mungu?

Ndiyo alllah amekudanganya hivyo?
 
mpumbavu na mpuuzi kama ww mwenye akili za kushikishwa nyuma ndo unaeza kukoment uharo wako hapa
 
mm nimeuliza maana israel alijigamba sana
 
Mkuu hao wameshinda njaa...hakuna cha kufunga wala nini...

Walibadilisha muda wa kula hadharani.

Wanakula ufichoni mchana, halafu usiku kucha wanakesha wanakula hadi asubuhi!. Kufnga kwa aina gani huku? Pengine mungu wao ndioyo anawafundisha kufanya hivyo kiongozi!.
 
mpumbavu na mpuuzi kama ww mwenye akili za kushikishwa nyuma ndo unaeza kukoment uharo wako hapa

Nidyo shule aliyokuwa anakufundisha allah wakati unakesha unakula usiku kucha? Ila watumishi wa shetani mnakazi!
 
Hv nyie mnaotaja Allah mnamjua Allah ni nani? Au mnaongea hakika hamjui mnamkejeli nani fanyeni mzaha na binadamu wenzenu lakini sio mwenyezi mungu aliyekuumba wewe akakupa pumzi someni historia allah alichomfanya firauni na watu wake hakika binadam tunapotoka
 
Hivi wewe unadhani kufunga kwako kumekurecharge nguvu mpya kwamba sasa unaanza kumchokoza Mungu? Wewe ni lipumbvue kabisa. Hujaui kwamba hata ungelifunga miaka mfululizo hutaweza kumshinda Mungu?

Ndiyo alllah amekudanganya hivyo?
Tatizo nn mpaka unaandika hii au Tatizo n kusema Israël n weak state
 
W
Jamani mi nahoji zile ndaru za netanyahu na israel kutishia kuishambulia iran toka mwaka wa 1980 mpaka leo mbona haijawaho kutokea?
Mbona israel hajarusha hata risasi?
Nimeamini israel ni weak state.
Watu wanapopigana, nyie mnafaidikaje. Je hii inaweza ikapelekea tukalipwa ile hela ya makinikia? Au ikasababisha uchumi wetu ukapanda hadi tukafikia uchumi wa kati?

Au kwa kuwa IQ yetu ni ndogo ndo lazima tuwe na mawazo ya kipumbavu namna hii? Kwa nini tusijadili mambo yanayoweza kututoa hapa tulipo? Hopeless kabisa.
 
Hivi wewe unadhani kufunga kwako kumekurecharge nguvu mpya kwamba sasa unaanza kumchokoza Mungu? Wewe ni lipumbvue kabisa. Hujaui kwamba hata ungelifunga miaka mfululizo hutaweza kumshinda Mungu?

Ndiyo alllah amekudanganya hivyo?
Hata wewe ungekuwa na akili sidhani kama ungecomment hivi
 
Akishaishambulia utafaidika na nini????Vita sio kama unavyofikiri ukifanya miscalculation inakula kwako hayo mataifa mawili yakishambuliana middle east kutabaki nyasi na hakuna kati ya hao anayependa vita option ya mwisho iliyobaki kwa kila taifa ni kusubiria lishambuliwe ndio lijibu mapigo

mkumbushe jinsi waarabu walivyomiscalculate wakapigwa vibaya na waisrael 1967 na 1972
 
Back
Top Bottom