Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,189
Maana nyepesi ya ugaidi ni matumizi yasiyo halali ya mabavu na vitisho hasa dhidi ya raia kwa malengo ya kisiasa. Kihistoria ugaidi umekuwepo tangu zamani lakini ukiacha wakati wa vita, ugaidi huo ili kuwa ukihusisha jamii husika na wala haukulenga jamii nyingine.
Hata hivyo katika namna ya ajabu sana, ugaidi wa kuanzia Karne ya 20 hadi sasa na ambao ndio mkubwa ukiona na madhara makubwa, umekuwa ukihusisha jamii fulani dhidi ya jamii ambayo hazihusiani. Mfano: ISIS dhidi ya nchi za Ulaya. Kuna vikundi vingi via kigaidi duniani japokuwa vyenye nguvu ni vichache karibia vyote vikiwemo kwenye nchi za kiislamu.
Kumekuwepo tuhuma za kuhusisha uislamu na ugaidi. Hata hivyo, ukifuatilia sana jamii za wanadamu dunia nzima, utagundua nchi za kiislamu ziko nyingi duniani hasa katika Bara la Asia na kwamba zipo nyingi ambazo ni ngumu kuamini kuwa ni za kiislamu - Malaysia, Indonesia na Bangladeshi. Nchi hizo zikiwemo Indonesia ni ya kwanza kwa kuwa na waislamu wengi duniani na Bangladesh ni ya tatu baada ya Pakistani. Wananchi wa nchi hizo tajwa wanaishi kwenye maeneo yenye rutuba na mvua nyingi hivyo kupelekea kutengeneza jamii yenye upole na Amani.
Hata hivyo nchi za kiarabu ambazo zikiwemo kwenye majangwa zimekuwa na changamoto ya ugumu wa mazingira hivyo kujikuta wanazoea mazingira ya ubabe na uchokozi. Nchi hizo ziliingia kwenye uislamu siyo kwa kutaka Bali kwa jihad, hivyo miaka leo mfumo wao wa maisha umekuwa wa kibabe kutokana na mazingira magumu. Ndiyo maana waislamu wa nchini hawana msimamo mkali kama nchi zinazozunguka Jangwa la Sahara.
Unapofikiria suala Hilo fikiria jinsi wafugaji nao huwa ni wababe dhidi ya wakulima utaelewa kwani maeneo ya waarabu kilimo hakiwezekani zaidi ya ufugaji.