Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,086
Kijana huyo mweusi kwa jina Jamal Freeman amelazwa hospitali na hali yake sio nzuri, mama mzazi wa Jamal amesema mtoto wake alipigwa risasi kwasababu ya kibaguzi kwani angekuwa mzungu mweupe asingefanyiwa hivyo. mama huyo alidai watu wenye asili ya waafrika wengi huwa wana umbile kubwa kwahiyo hiyo isije ikawa sababu ya kupigwa risasi.
source: Entertainment News- SDE