International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa China anazuru nchini Urusi kwa mara ya tatu mfululizo ndani ya mwaka huu tu kujadili na Putin mambo mbalimbali. Ujio huo wa Xin Jinping kwa Urusi umepokelewa kwa mikono miwili huku Rais...
7 Reactions
72 Replies
7K Views
Serikali ya Saudia imesimamisha urushaji matangazo na kufunga ofisi za kanali ya televishani ya al-Jazira inayomilikiwa na Qatar nchini humo. Taarifa iliyotangazwa leo na viongozi wa Saudia...
6 Reactions
199 Replies
17K Views
Soko kubwa zaidi nchini Zambia limeteketea moto na kuharibu tegemeo la wafanyabiashara wengi. Soko hilo la City Market lililo mjini Lusaka, limekuwa likiteketea tangu mapema leo Jumanne. Msemaji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
BANGLADESH: Watu 13 wafariki na 50 kujeruhiwa baada ya kiwanda cha nguo kulipuka kisha kuta na paa za jengo la ghorofa 6 kuanguka. Kulikuwa na wafanyakazi wengi katika kiwanda hicho lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hassan Hassan Taarisi ya Tahrir kuhusu Sera ya Mashariki ya Kati Baghdadi alionekana hadharani mara ya mwisho 2014 mjini Mosul Miaka mitatu iliyopita, video ilitolewa ya kiongozi wa kundi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wachungaji mifugo mjini Bambo, Kaunti ya Mandera, walipata miili mitano iliyokuwa imezikwa katika kaburi la kina kifupi. Miili hiyo ilikuwa ya wanaume wanne na mwanamke mmoja walioripotiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
NIAMEY, NIGER: Wapiganaji wa Boko Haram wamewateka Wanawake 37 na kuwachinja watu nane katika Kijiji cha Ngalewa mpakani na Nigeria. Wapiganaji hao walikizingira Kijiji hicho kutokana na historia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu zaidi 700 wamefariki kutoka na mlipuko wa kipindupindu nchini Somalia, kulingana na baraza la wakimbizi la Norway. Mlipuko huo unadaiwa kuwa miongoni mwa milipuko mibaya zaidi ya ugonjwa huo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu waliokufa kutokana na lori la kubeba mafuta kupinduka kisha kuwaka moto nchini Pakistan mwishoni mwa mwezi uliopita imefikia zaidi ya watu 200. Baada ya Lori hilo kupata ajali wanakijiji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiongozi wa kundi la kihalifu la kusambaza dawa za kulevya aina ya cocaine hatimaye amekamatwa baada ya kujificha kwa miaka 30 akitumia sura mbalimbali za bandia kukwepa kukamatwa na polisi nchini...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
“We welcome the decision by the US Department of Homeland Security to lift the electronic devices ban on flights between Abu Dhabi and the United States, following the successful validation of...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
As Kommersant reports citing its own source, some leaders of the regional FSB department may be dismissed following the results of the inspection.+ Let us recall that July 1, it became known...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Lesotho ni moja ya nchi zenye maambukizi makubwa ya VVU ikiwa katika nafasi ya pili kwa maambukizi duniani baada ya Swaziland. Katika nchi hiyo yenye idadi ya watu takribani milioni 2, maambukizi...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
UJERUMANI: Watu 18 wanahifiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na Lori kisha kulipuka. Waziri wa Usafirishaji Alexander Dobrindt amewaambiwa waandishi wa habari kuwa miili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja kwenye jimbo la Uttar Pradesh nchini India ambaye aliponea kisa cha kubakwa na kundi la wanaume na visa vinne tofauti vya mashambulizi kwa tindi kali, ameshambuliwa tena na mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ya Ufaransa imechangia kiasi cha Euro 250,000 kwa shirika la mpango wa chakula duniani, WFP ili wakimbizi nchini Tanzania waweze kupata msaada zaidi wa kifedha. Msaada huu unadhihirisha...
0 Reactions
2 Replies
929 Views
Wadau kama mtakuwa mnafuatilia habari za kimataifa,habari inayo trend kwa sasa ni tukio la Trump kuonekana akimpiga mtu ambaye amewekewa logo ya CNN,Nadhani mtakumbuka tukio hili ni la ,waka 2007...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha video katika mtandao wa Twitter ikimuonyesha akimpiga mtu aliye na nembo kichwani ya shirika la habari la CNN. Video hiyo iliyofanyiwa ukarabati ni ile...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna wakati siwaelewi kabisa wanasiasa. Kwa hivi wanasiasa wanaongelea kwamba na kupiga porojo nyingi sana juu ya SADC regional integration, lakini unakuta mambo ya msingi kabisa kama uhuru wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu kadhaa wajeruhiwa kwa risasi nje ya msikiti Ufaransa Watu 8 wamejeruhiwa wakati wa ufytuajia risasi nje ya msikiti kusini mwa Ufaransa. Waumini waliokuwa wakiondoka kwenye msikiti wa...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Back
Top Bottom