ISRAEL:Jaribio la kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye KONTENA lililo ktk Meli ya Mizigo ya kiraia

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,210
2,000
594e2794c461883f348b4569.JPG

Mkandarasi wa jeshi la israel amefanya Jaribio lililofanikiwa la Kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye kontena la lililo katika Meli ya kiraia.

Kombora hilo lina uwezo wa Kusafiri hadi KM 400.
SOURCE:rt

MAONI:
Tunakoelekea, Vita vinazidi kurahisishwa sana kiasi kwamba kile unachodhani sio hatari kumbe ni hatari kuliko maelezo.
Changamoto Utagunduaje hiyo meli inayokuja na Makontena lukuki inakombora au Makinikia peke yake??

Kazi ipo...
 
ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,743
2,000
Mkuu hii habari nimeifuatilia sijaiona kokote nimetembelea web ya RT, BBC, Reuters , Hadi jerusalem post sijaona hiki unachokisema....labda wewe utuambie chanzo cha hii habari umetoa wap.....au kama upo hapo middle east

Mimi nilichokiona kwenye facebook page ya RT ni kwamba ndege ya israel imelipua vifaru viwili vya syria
Taarifa hii hapa Vous quittez Facebook
Labda kakosea kusoma, maana Leo Israel ndo kashambulia Syria baada ya Roketi toka Syria kutua kwenye ardhi ya Israel.
 
Maarab

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
418
250
594e2794c461883f348b4569.JPG

Mkandarasi wa jeshi la israel amefanya Jaribio lililofanikiwa la Kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye kontena la lililo katika Meli ya kiraia.

Kombora hilo lina uwezo wa Kusafiri hadi KM 400.
SOURCE:rt

MAONI:
Tunakoelekea, Vita vinazidi kurahisishwa sana kiasi kwamba kile unachodhani sio hatari kumbe ni hatari kuliko maelezo.
Changamoto Utagunduaje hiyo meli inayokuja na Makontena lukuki inakombora au Makinikia peke yake??

Kazi ipo...
hapo NATO wakowapi khs zuio la Jaribio la Makombora..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom