Rais wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo amesema kuwa hafahamu ni kwasababu gabi Umoja wa Nchi Huru za Afrika(AU) umemtunuku tuzo ya masuala jinsia.
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73 sasa...
“Africa must unite or perish” Dr. Nkwameh Nkrumah was frank about it, prof.Onyejekwe stated that Africa has in deed good plans but the fragmentation is a hindrance but suggested a solution for it-...
IDD AMIN aliwahi kuwaambia wananchi wake kuwa wanaweza kutoa maoni yao kwa uhuru,ila haina uhakika na uhuru wao baada ya kutoa maoni yao!
Naona huyu wetu anaenzi maneno hayo kwa vitendo!
Ni aibu...
Kama binadamu akimuua Mamba mtoni huenda habari hiyo isiwashangaze sana watu ila vipi kama binadamu kakamatwa na mamba halafu baada ya siku moja Mamba huyo akamrudisha mtu huyo? hapo ndiyo habari...
Luxembourg imekuwa inch ya kwanza ya Ulaya kupitisha sheria ya madini ya anga (space mining law)
Digital rendition of a mining operation in space. (Source Mine Stories.)
serikali ya luxembourg...
Rais wa Sudani Kusini, Salva kiir ametangaza hali ya hatari ya miezi 3 katika upande wa Kaskazini-Magharibi baada ya mapigano ya kikabila kupamba moto.
Hali hiyo ya hatari ilitangazwa katika...
Siku ya jumanne(Leo) utawala wa bwana Trump umetangaza vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Iran, kuhusiana na mpango wake wa silaha za nyuklia, mpango wake wa makombora na pia kuunga mkono ugaidi...
Hundreds of school pupils in the Bavarian town of Regensburg, home to the famous German cathedral choir, suffered from physical and sexual abuse for decades, an investigator says, adding that no...
Mataifa manne ya kiarabu yanayoongozwa na Saudi Arabia sasa hayaishinikizi tena Qatar kutekeleza masharti 13 yaiyowasilishwa mwezi uliopita.
Wanadiplomasia kutoka nchini za Saudi Arabia, UAE...
Askari jeshi zaidi ya 800 wakiwemo baadhi ya maafisa wakuu katika jeshi la Rwanda wamestaafishwa.
Miongoni mwa waliostaafishwa ni majenerali wawili waliowahi kuongoza idara za upelelezi za nchi...
.
Maafisa katika jimbo la Nevada nchini Marekani wanachukua hatua za dharura kukabiliana na uhaba wa bangi.
Mahitaji yamekuwa ya juu tangu bangi ihalalishwe kwa matumizi ya kujiburudisha tarehe...
Kumbe ni kweli marekani hana taarifa makini kuhusu nguvu za kijeshi za N/korea, ndiyo maana ametunga sheria hii 'NORTH KOREA INTELLIGENCE ENHANCEMENT ACT' ili kuongeza mbinu za kumjasusi N/korea...
Maseneta wengine wawili wa chama cha Republican wanasema kuwa wanapinga mpango wa chama chao, wa kuubadilisha muswada wa afya wa Obamacare hatua iliowawacha viongozi wa Republican na uchache wa...
Waziri wa Habari nchini Nigeria ametoa onyo kali kuhusu uzalishaji wa video za muziki na filamu nje ya nchi hiyo.
Waziri Lai Mohammed alisema mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa serikali haiwezi...
Brafu inayoyeyuka nchini Uswisi imefichua miili miwili inayoaminiwa kuwa ya mtu na mkewe waliotoweka miaka 75 iliyopita.
Marcelin na Francine Dumoulin walitoweka wakati walienda kuchunga ng'ombe...
Watu 34 wakiwemo manahodha wa meli ya jeshi la Cameroon wamefariki dunia baada ya kuzama kwenye kisiwa cha Bakasi, watu watatu wameokolewa.
------
YAOUNDE, Cameroon -Cameroon's defense minister...
Hakuna mtu angependa kuona harusi ikiharibika lakini baba mmoja ameshikwa na hofu kutokana na kilichotokea wakati wa harusi ya binntiye.
JP Nadeau anaripotiwa kupigwa na radi wakati akitoa hotuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.