International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mwanawe mkubwa rais Donald Trump, aliyekuwa meneja wa kampeni pamoja na mkwe wake wanatarajiwa kutoa ushahidi mbele ya kamati za bunge la senate zinazochunguza madai kuwa Urusi iliingilia uchaguzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Takribani watu 24 wamefariki dunia na wengine zaidi 40 wamejeruhiwa baada ya kulipuka kwa bomu la kujitoa mhanga lililotegwa kwenye moja ya gari katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul. Taarifa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Ufaransa, General Pierre de Villiers amejiuzulu kufuatia mzozano na Rais Macron kuhusu kupunguzwa kwa bajeti ya Jeshi. Katika taarifa kutoka ofisi yake, Jenerali huyo...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mamlaka zinasema kuwa watu 7 wamefariki na wawili kujeruhiwa baada ya crane(winchi) kuanguka katika eneo la ujenzi huko Jijini Guangzhou. Crane hiyo ilianguka jioni siku ya Jumamosi katika eneo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Donald Trump alipochaguliwa kuingia Ikulu aliwateua binti yake Ivanka Trump na mume wake Kushner kuwa washauri wake wakuu. Kushner ndio aliyeratibu ziara ya Rais Donald Trump huko Saudh...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Diplomasia ya kimataifa ina mambo mengi sana. Inajumuisha namna ya uvaaji wa viongozi, speech, muonekano na hata kusalimiana. Ktk kusalimiana kuna namna yake, JPM jana ktk mkutano ameonyesha yenye...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu 8 wamekutwa nyuma ya trela la trekta kwenye eneo la parking ya duka la Walmart huko San Antonio Texas. Pia 20 wengine wamewahishwa hospitali kupata msaada baada ya hali zao kuwa si njema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pope Francis kicked off the start of a three-nation trip across South America today (16/9/15) with his first mass, with over a million Ecuadorians in attendance, in the coastal city of Guayaquil...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Viongozi sita wa America ya Kusini inadaiwa waliuugua ugonjwa wa cancer kwa nyakati tofauti, inadaiwa viongozi wa nchi hizi za walipinga vikali sera za Marekani katika masuala ya kiuchumi na...
5 Reactions
60 Replies
10K Views
TAIWAN: Wabunge wanyukana na kurushiana viti wakipingana kuhusu mradi wa miundombinu wenye utata. Ghasia hizo zimezuka kwa siku mbili mfululizo ndani ya Bunge huku wakimwagiana maji chanzo cha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
"Asante!, Asante!...Oh! Mungu" alisema Simpson mwenye miaka 70 huku akiweka mikono juu kuonyesha alama ya ushindi, akiwa na dada yake Shirley ambayo alikuwa akilia. Atatolewa October kwa Parole...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya Ujerumani ameonesha dalili za kufikia mwisho wa uvumilivu wake dhidi ya chokochoko na vitisho vya taifa la Uturuki. Vuguvugu hili la kidiplomasia lililokuwepo kwa mwaka mmoja sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Members of a teenage robotics team from the African nation of Burundi, who were reported missing after taking part in an international competition, are seen in pictures released by the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
North Korea may be gearing up to test an intercontinental or intermediate-range ballistic missile, US intelligence sources told CNN on Wednesday. Officials say that NK is continuing to test...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nasikia ni nchi unaenda nunua kilo ya mchele na rumbesa Nasikia ina wasomi zaidi duniani Nasikia ina uchumi mbaya mno Naomba kuijua Zimbabwe ya Mzee Mugabe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo: Zaidi ya asilimia 20 ya mapato yatokanayo na madini yanapotea kutokana na rushwa na usimamizi mbovu. Taarifa ya kiuchunguzi imedai kuwa mapato(fedha) hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
White House Press Secretary Sean Spicer has quit, reportedly in protest at a shake-up of the communications team. Mr Spicer stepped down because he was unhappy with President Donald Trump's...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Israel's Benjamin Netanyahu caught on microphone slamming EU in Budapest | News | DW | 19.07.2017
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Trump amekalia kiti moto! Ndio jamaa hahemi kina anachofanya vyombo vya habari vinaripoti. Kawekewe tume za uchunguzi, wapelelezi wa kujitegemea, majaji wa kupinga amri zake. Maazimio yake...
0 Reactions
6 Replies
998 Views
Karen Nelson, a tidy archivist at Lawrence Berkeley National Laboratory, about 20 forgotten vials of moon dust collected by Armstrong and Aldrin have been rescued from a grave of their own: a...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Back
Top Bottom