G20: The second Berlin war against Africa

Pole yao ni kubwa...Africa is a future continent hakuna wakuitawala bali inawezekana sisi tukawatawala...Kwanza walishajimaliza kwenye family planning...non-reversed effects, they have no choice but soon watakuwa hawana labour force ya kutosha, kisha watoto wao wanajisomesha usanii na mambo kama hayo wanawategemea watu wetu na Asia kwa technology...Watakaa tu wee subiri uone...Mungu hakuwahi kuwa mjinga, they are in their downfall curve!
 
Back
Top Bottom