International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

A four-storey building at No 3 Massey Street, Lagos Island collapsed on Tuesday. The incident was said to have occurred at about 3pm, with rescue operators battling to rescue the trapped victims...
0 Reactions
3 Replies
700 Views
Raia mmoja wa Brazil ambaye ni mchezaji kandanda wa timu ya chelsea ya England amerudishwa uingereza kutoka ziarani China baada ya mwanasoka huyo kuwaita wachina ' wapumbavu' Mbrazili huyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanafunzi sita wametoweka kwenye maonyesho ya kimataifa ya Roboti yaliofanyika huko Washington Marekani . Wanafunzi hao kutoka Burundi wavulana wanne na wasichana wawili wakiwa wenye umri kati ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
INDONESIA: Rais Joko Widodo awaamuru Askari wa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi wafanyabiashara wa mihadarati watakao kataa kukamatwa. Kauli hii imepingwa na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Viongozi wawili wa dini nchini Canada wamepatikana na hatia ya kuoa wake wengi. Mahakama iliambiwa kuwa Winston Blackmore mwenye umri wa miak 61 alioa wanawake 24 naye mwanamume ambaye alikuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Nikolae Ceausescu alikuwa ni Rais wa Romania na Katibu Mkuu wa chama tawala aliyetawala kwa mkono wa chuma. Kauli yake ilikuwa ni sheria na ole wake aliyethubutu kuukosoa utendaji wake vyombo vya...
33 Reactions
99 Replies
14K Views
Wadada mnasemaje kwa hili la Mwalimu wa kike kufanya mapenzi na mwanafunzi wa miaka 13. Watoto wetu wako salama kiasi gani? ======================================================== HOUSTON (AP) -...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa Shenzhen nchini akitokea Hong Kong na simu aina ya iPhone 102 akiwa amezifunga kiunoni tayari kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Viongozi wawili wa dini nchini Canada wamepatikana na hatia ya kuoa wake wengi. Mahakama iliambiwa kuwa Winston Blackmore mwenye umri wa miak 61 alioa wanawake 24 naye mwanamume ambaye alikuwa ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
The daughters of couple who went missing in the Swiss Alps 75-years ago have said they "will finally be able to mourn" their parents after their funeral service. Marcelin Dumoulin and his wife...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Robert Mugabe amempatia shemeji yake kiasi cha Dola za Kimarekani 60,000/-(Sawa na Zaidi ya Shilingi Milioni 134 za Kitanzania) kama Zawadi ya Siku yake ya kuzaliwa(Birthday Gift). Mugabe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Japo haya mazombi hata ukiua kiongozi wao bado yanazaliwa...... ISIS 'finally admits its leader Abu Bakr al Baghdadi is dead' after lifting ban on jihadis talking about his death in an airstrike...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Dengue umesababisha vifo vya watu takribani 300 nchini Sri-Lanka huku Mashirika ya misaada yakionya juu ya uwezekano wa kuongezeka kwa vifo hivyo. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
At least 26 people have died in a bomb blast targeting police in Pakistan on Monday, officials told CNN. The incident took place in Lahore, at a vegetable market at the entrance of the Arfa...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Nelson Mandela Full Speech At Start Rivonia Trial 20 April 1964 in audio and text form Greatest Speech of Nelson Mandela in text form to support the audio/video clip above: Our fight is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WorldViews These are the suicide cars and trucks that made the battle of Mosul so bloody By Thomas Gibbons-Neff July 23 at 3:00 AM campaign to push the militants out of Iraq and Syria...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakaguzi wakiwa na mhalifu wao Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa Shenzhen nchini akitokea Hong Kong na simu aina ya iPhone 102 akiwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
JAMHURI YA AFRIKA YA KATI: Askari wa kulinda amani(Kutoka Morocco) ameuawa na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya Wapiganaji wa Kikristu kufanya shambulizi katika msafara wao. Wanajeshi hao walikuwa...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
China na Urusi zaomba jumuia ya kimataifa kuunga mkono juhudi zao katika kutatua mgogoro uliopo rasi ya Korea. Nchi hizo zimesisitiza kwamba Korea kaskazini inapaswa kuacha mpango wake wa nyuklia...
7 Reactions
81 Replies
14K Views
KUNMING, July 24 (Xinhua)-- Border police in Lincang city, southwest China's Yunnan Province, seized 1.025 tonnes of drugs this year. By July 21, police in Lincang on the China-Myanmar border had...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Back
Top Bottom