IDD AMIN:I cant guarantee your freedom after your speech!

IDD AMIN:I cant guarantee your freedom after your speech!

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,637
Reaction score
27,040
IDD AMIN aliwahi kuwaambia wananchi wake kuwa wanaweza kutoa maoni yao kwa uhuru,ila haina uhakika na uhuru wao baada ya kutoa maoni yao!

Naona huyu wetu anaenzi maneno hayo kwa vitendo!

Ni aibu kiti cha Tanzania kuwa wazi Kigali,huku mwakilishi akikamatwa na polisi ambao hata wao hawajui kosa lake nini zaidi ya kupewa maelekezo kutoka juu!

"Watch it,not to that extent"
 
Ufaham unapokuwa mkubwa kupita akili hakika huo ni ujinga mamboleo

KANISA LA KRISTO
 
Back
Top Bottom