International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa mujibu wa taaifa kutoka shirika la habari la Reuters Mashambulizi ya anga ya Israel katika Hospitali ya Nasser, Gaza leo Agosti 25, 2025 yameua watu 15, wakiwemo waandishi wa habari wanne...
0 Reactions
4 Replies
577 Views
Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi. Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Inaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel...
15 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakati Ujerumani alikuwa akipokea kichapo kitakatifu kutokea upande wa mashariki na jeshi la Red army la mrusi, upande wa magharibi ya Ujerumani nako kichapo kilikuwa si haba... Ujerumani...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Niaje waungwana Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kinanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE" Kama...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Kwa Wayahudi, Nchi waloahidiwa, kihistoria inaenda mpaka kuchukua sehem za Syria,Jordan, Uturuki ,Misiri, Lebanoni. Mnaweza msiamini, ila Israel tayari ndo kaifuta Palestina, Baada ya Trump...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mamlaka Agosti 23, 2025, Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya kufanya shambulio la...
4 Reactions
10 Replies
881 Views
CONGO DRC: Mwendesha mashtaka mkuu wa kijeshi nchini Congo, Jenerali Likulia Lucien Rene, ameiambia mahakama ya kijeshi kuwa anataka aliyekuwa Rais Joseph Kabila ahukumiwe kifo kwa makosa ya...
2 Reactions
2 Replies
626 Views
Jeshi la anga la Israel IDF limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi wa Yemen, Sanaa, Taarifa hii imetolewa na vyombo vya ndani nchini isarel Mashambulizi hayo yanakuja...
2 Reactions
2 Replies
620 Views
Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel". Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa...
10 Reactions
69 Replies
4K Views
Kwa nini hizi jamii za Asia zinaonekana kufanya vyema kwenye AI kwa sasa duniani ? Hasa jamii ya kichina iwe ndani ya nchi zao za kuzaliwa au hata nje ya nchi zao Nini siri ya mafanikio yao au...
6 Reactions
90 Replies
3K Views
Naomba kujibiwa swali hili bila mihemko. Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ? Treatment anayopata...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
MFUNGWA Emmanuel Magede aliyehukumiwa kifungo cha miaka 10 kwa kumbaka mtoto mdogo amekutwa na hatia ya kumbaka mfungwa mwenzake aliyekuwa anaoga wakiwa gerezani. Mwendesha mashtaka, Loveit...
9 Reactions
57 Replies
4K Views
GUINEA:Serikali ya kijeshi nchini Guinea imesitisha kwa miezi mitatu shughuli za vyama vitatu vikubwa vya siasa, ikiwemo chama cha Rais wa zamani Alpha Condé (RPG), Union of Democratic Forces...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Wachambuzi wa Israel wanaamini kuwa Israel inajiandaa kwa duru nyingine ya mapigano dhidi ya Iran. Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Ulinzi, Meja Jenerali Amir Baram, aliuagiza ujumbe wa Wizara ya...
4 Reactions
11 Replies
718 Views
Wakuu Nimekuwa nikilalamikia sana kuhusu hawa Wachina humu, naona sasa Wanigeria wameamua kufanya kweli. Malawi na Angola na sasa Nigeria wameshaanza kuchukua hatua dhidi ya hawa watu. Sisi...
0 Reactions
5 Replies
718 Views
Back
Top Bottom