International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea...
10 Reactions
93 Replies
3K Views
Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud, pamoja na viongozi wakuu wanne wa upinzani, wamesaini makubaliano kuhusu uchaguzi ujao nchini humo. Makubaliano haya yaliyokamilika tarehe 25 Agosti 2025...
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Ni makosa kisheria kushambuliwa makazi ya rais wa nchi kwa sheria za UN. Taarifa kutoka Israel muda huu:Israel Air Force strikes against the Houthis in Yemen’s capital, Sanaa, hit a military...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imewaita maafisa wake waandamizi wa kijeshi 41, wakiwemo majenerali 35 na makamanda wa ngazi ya kanali 6, ili kuhojiwa kufuatia kushindwa mara kwa mara...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Baada ya waarabu kueneza tabia ya kuchana na kuchoma Bendera za Marekani sasa Rais wa Marekani amekuja na Muarobaini wa kuamua kuwafunga a kuwafukuza Marekani wote watakaofanya vitendo hivyo vya...
1 Reactions
5 Replies
758 Views
❗️Ndege za usafiri za kijeshi za Urusi ziliripotiwa kutua katika kambi kadhaa za jeshi la wanahewa nchini Iran katika siku kadhaa zilizopita. Utawala wa ayatollah unaonekana kurejesha haraka...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una...
10 Reactions
221 Replies
6K Views
Kama ulikuwa hujui kuwa PUTIN amesema nini kuhusu AFRIKA, wacha nikufahamishe: RAIS wa URUSI, Mheshimiwa VLADIMIR PUTIN, Jana amelihutubia taifa na kusema kuwa: Kuna watu wananilaumu mimi na...
38 Reactions
62 Replies
4K Views
Maafisa wa Polisi nchini Japan waomba radhi kwa familia ya mfanyabiashara Shizuo Aishima, baada ya kumbebesha mashtaka ya uongo ya kusafirisha mashine zinazoweza kutumika hata kijeshi...
1 Reactions
4 Replies
791 Views
Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Baada ya washirika wake wa Ulaya, Uingereza, Ujerumani. Ufaransa. Canada, kuwaambia Israel kuwa watalitambua taifa la Palestina Netanyahu kaufyata na majigambo yake kuwa atapambana na...
2 Reactions
14 Replies
999 Views
Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Shambulio hilo limefanywa na Jeshi la Israel (IDF) katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, kwa kutumia makombora na ndege zisizokuwa na rubani likilenga kituo cha mafuta na Ikulu. Watu sita wameuwawa na...
0 Reactions
5 Replies
662 Views
Jumapili ya leo Wahouth huko Yemen wamepata kipondo cha mbwa-koko tuwaombee tu!!
1 Reactions
8 Replies
882 Views
Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas...
6 Reactions
158 Replies
6K Views
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
1 Reactions
19 Replies
937 Views
Hawa ndo walioandikwa kwenye maandiko??[emoji23] hawa ndo wale walioahidiwa ile nchi miaka 3000 iliyopita? Hawa ndo kizazi cha Ibrahim na Daudi?[emoji23][emoji23]
3 Reactions
8 Replies
585 Views
Malawi 🇲🇼 has the highest per capita consumption of pork 🐖 in Africa estimated as 15.7 KGs/Person/Year That's an average of 300 Grammes of Pork every week The country also has the 2nd highest...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom