✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kutoshiriki kwa dhati kwenye mazungumzo ya amani na kwa kutaka kuendeleza uvamizi wake wa miaka mitatu, licha ya msukumo wa Marekani wa...
Ikulu ya Urusi imepuuzilia mbali mazungumzo ya kufanyika kwa mkutano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, licha ya wito uliotolewa na Rais wa Marekani...
Waisraeli wanashuku Qatar kuwa nyuma ya kampeni ya uenezi ya 'njaa' ya Hamas
Maafisa nchini Israel wanaamini kuwa Qatar inaongoza kampeni ya propaganda ya Hamas kuhusu "njaa huko Gaza," ambayo...
Israeli Minister Admits: Deliberately Withheld Gaza Food/Aid 2 1/2 Months!
August 19, 2025 Hits: 14438
Israel Finance Minister Bezalel Smotrich has admitted on TV the Israeli government...
Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo.
Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu...
Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin.
Ushahidi...
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ameuidhinisha mpango wa kijeshi wa kuuteka mji wa Gaza na pia ameidhinisha hatua ya kuwashirikisha askari wa akiba katika zoezi hilo
Wizara ya Ulinzi ya...
Mnamo tarehe 15 Agosti 2025, Rais wa Kenya William Ruto alimteua Bi. Judy Kiaria Nkumiri kuwa Balozi Mdogo (Consul General) wa Kenya katika jiji la Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
Nimekuwa nikiwaambia Wafuga Midevu na Majini kila wakati kuwa Majeshi ya Israel ni miamba isiyotikisika huko Mashariki ya Kati mpaka huko kwa wa aje I!!
Pichani hapo ni Damascus Syria hebu...
realratedred Vladimir Putin anakutana na Donald Trump huko Alaska leo kwa mazungumzo ya amani yenye umuhimu mkubwa kuhusu vita vya Ukraine, na inaripotiwa kwamba ameambatana na moja ya hatua zake...
Muda mfupi uliopita, Donald Trump alizungumza kwenye Fox News, akitoa maoni yake kwa mara ya kwanza tangu rais wa Marekani na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukutana katika Ikulu ya White...
!!Wanaume kuna ujumbe wenu hapa...
Ripoti mpya ya Taasisi ya Vinasaba ya Smart DNA iliyo na makao yake nchini Nigeria imefichua kuwa kati ya watoto wanne, mmoja anakuwa sio mtoto halali wa baba...
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga ameshitakiwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma, kughushi na kutumia nyaraka za uongo.
Maiga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya...
Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na...
Anaejua kinachowakwamisha ATCL/Air Tanzania kuwa na routes za ulaya ni nini?
Mchi zote za EAC zinapeka ndege zao Ulaya kasoro ATCL tatizo ni nini?
=============
Shirika la ndege taifa la Rwanda...
Magaidi wa uislamu wameingia kwenye vijiji na kuendesha shughuli za kuchinja tu, yaani maskini wanavijiji ambao hata msosi kwa siku ni shida, wanakutwa na kutiwa mapanga na watu wa dini ya...
Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.