International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wachambuzi wa Israel wanaamini kuwa Israel inajiandaa kwa duru nyingine ya mapigano dhidi ya Iran. Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Ulinzi, Meja Jenerali Amir Baram, aliuagiza ujumbe wa Wizara ya...
4 Reactions
11 Replies
718 Views
Wakuu Nimekuwa nikilalamikia sana kuhusu hawa Wachina humu, naona sasa Wanigeria wameamua kufanya kweli. Malawi na Angola na sasa Nigeria wameshaanza kuchukua hatua dhidi ya hawa watu. Sisi...
0 Reactions
5 Replies
718 Views
Kwa mara ya kwanza katika historia Somalia, marais watatu wastaafu Sharif Sheikh Ahmed, Abdiqasim Salad Hassan na Mohamed Abdullahi Farmaajo wameungana kutoa tamko kali dhidi ya serikali ya Rais...
0 Reactions
3 Replies
795 Views
Katika mkutano wa ngazi ya juu katika Amri ya Kusini, PM Netanyahu, DM Katz, na Mkuu wa Wafanyakazi Zamir walipitia mpango wa uendeshaji wa kuliteka Jiji la Gaza - uwezekano wa mabadiliko katika...
0 Reactions
5 Replies
446 Views
Watu wanaojihusisha na Ugaidi huko West-bank na huko Gaza zaidi ya 100 leo hii wametiwa nguvuni na kuhojiwa kutokana na vitendo vyao vya kigaidi wanavyovifanya katika miji mbalimbali huko...
3 Reactions
2 Replies
460 Views
Wakati akina Webabu wanaeneza Propaganda uchwara za kudai kuwa askari 14,600 wa Israel wamekimbia vitani- IDF itaanza kutoa maagizo ya kuwaita askari wa akiba takriban 60,000 katika siku zijazo...
0 Reactions
8 Replies
498 Views
Shambulizi lililoratibiwa na Hamas kwenye Kituo cha IDF Karibu na Khan Yunis IDF ilithibitisha kuwa Hamas walianzisha shambulio lililoratibiwa kwa kutumia bunduki na vifaru, na hivyo kufanikiwa...
4 Reactions
9 Replies
831 Views
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Mnamo 2005, Israeli ilijiondoaUkanda wa Gaza na kuvunja makazi yote 21 ya Israeli huko. Kama sehemu ya mchakato huu, makazi manne ya Waisraeli katika Ukingo wa Magharibi yalivunjwa pia. Kuondolewa...
1 Reactions
13 Replies
553 Views
Former army Chief Col.Jean Bikomagu assassinated. Wounded daughter admitted. He fought against CNDDFDD while in rebellion, he commanded government forces which were fighting the then rebels...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Salaam! Kumbe Africa yetu ni kubwa kuliko tulivyochorewa kwenye ramani. BBC Swahili imekuja na ripoti iliyoandakiwa na wataalamu toka Africa kuwa baada ya tafsiri na vipimo vya ardhi ya nchi...
1 Reactions
7 Replies
564 Views
Mkutano wa 30 kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (COP30) unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mjini Belém nchi Brazil, ambao unatajwa kuwa mkutano wa kilele wa kihistoria utakaoweka ajenda kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Lavenda Chepkirui, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 25 kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga nchini Kenya, alipiga hatua kubwa ya kutimiza maono yake ya kubadilisha kilimo barani Afrika kwa kutumia suluhu...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
China ni nchi kubwa inayoendelea, na pia ni nchi ambayo imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea, hususan za barani Afrika, kujipatia maendeleo na kuinua uchumi wao. Katika...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
4 Reactions
71 Replies
2K Views
NY appeals court throws out $500M penalty against Trump in Letitia James civil case NY appeals court throws out $500M penalty against Trump in Letitia James civil case Hahahaa! Watu ambao tuko...
2 Reactions
6 Replies
403 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu: "Nimeagiza kuanza mazungumzo ya haraka ya kuachiliwa kwa mateka wetu wote na kumaliza vita chini ya masharti yanayokubalika kwa Israeli. Tuko katika hatua ya...
0 Reactions
10 Replies
568 Views
Wanaukumbi. KILA BOSS ANA BOSS WAKE Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakati Netanyahu akidhamiria kuiteka Gaza yote,vita vinaelekea kuchukua mwelekeo wa ajabu na kwisha kwa namna moja au nyengine . Jumla ya idadi hiyo ya askari wamekimbia vita na mshike mshike...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao...
0 Reactions
1 Replies
587 Views
Back
Top Bottom