My Take
Hii Ndio Nchi Huwa tunaambiwa na Wapinzani kwamba imeendelea sana ,Ina Demokrasia na sijui Haina rushwa na blaa blaa zingine za kipumbavu za kusema wanatumia Rasilimali vizuri.
Mpaka hapo...
Kikao cha Seneti ya Mexico kilivurugika Jumatano baada ya wabunge kushikana na kupigana kufuatia mjadala mkali kuhusu iwapo Marekani inapaswa kuingilia kupambana na magenge ya dawa za kulevya...
Kutokana na kujisahau na kujichanganya na mafunzo ya kiyahudi imani ya kikristo ya wakatoliki imeanza kupata madhara maeneo mengi duniani hasa Marekani.
Kijana Robin Westman huko jimbo la...
Imekuwa ni mtindo mpya unaoenea kwa kasi duniani baada ya watu kuona ukweli wa wanachopigania wapalestina wakiongozwa na Hamas.Matamasha ya muziki yamekuwa yakianza kwa kampeni ya Palestina huru...
Mzigo wa kupambana na Hamas awali ulionekana ni rahisi sana na kwamba kazi ingeisha mapema.Hali imebadilika katika mpindo wa U.
Baada ya takriban miaka 2 mzigo umewachosha sana.Umekuwa kama mzigo...
Congo sijui kama kutakuja kutulia Jana wanajeshi wamerushiana risasi na wazalendo maeneo ya uvira baada ya wazalendo kuwashuku wanyarwanda waliojifanya raia kutokea Burundi kwamba wanaingia Congo...
Afrika ni bara ambalo watu waliacha lugha yao wenyewe na kuchukua lugha za kigeni kama lugha zao rasmi,
Na wanatumia mfumo wa demokrasia ya serikali zaidi ya miaka 50 iliyopita kwani nchi zetu...
Kila mwaka, watu wanafuatilia World Happiness Report ili kujua ni nchi gani zipo kwenye "top ten" ya nchi zenye viwango vikubwa vya amani na furaha. Kinachoshangaza ni kwamba nchi tano za...
Israel ina uwezo wa kuua na kukalia ardhi lakini tutapambana nao na hawatoweza kupata utulivu.
Uwezo huo upo mikononi mwetu na sasa tumekuwa imara kuliko hapo awali.
Marekani ni tishio kwa nchi...
Trump anataka ushindi katika vita ambayo 'hapigani' na Putin anataka ushindi dhidi ya 'dunia nzima'. Na kila mtu yuko tayari kufanya lolote kuhakikisha anashinda. Hili linaleta hatari ya vita...
Vikosi vya usalama vya Israel vilifanya operesheni sahihi katikati mwa Hebron, kumkamata gaidi anayesakwa ndani ya tawi la benki. Wakiwa wamejigeuza kama wateja, wapiganaji waliofichwa kutoka...
Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio...
Mkurugenzi wa U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC), Susan Monarez, amefutwa kazi na Ikulu ya Marekani ya utawala wa Rais Donald Trump, chini ya uongozi wa Waziri wa Afya Robert F...
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth...
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.
Zaidi ya...
Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi...
BREAKING: IDF inathibitisha kwamba kamera za uchunguzi za Hamas ambazo zilikuwa karibu na Hospitali ya Nasser huko Khan Yunis zilikuwa zikitumiwa kufuatilia mienendo ya wanajeshi wa Israel na...
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni...
kwa mujibu wa shirika la habari la ANI Agosti 27, 2025 mvua kubwa imesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo katika njia maarufu ya hija ya Kihindu kaskazini mwa India, na kusababisha vifo...
Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.