ANSWER: Billions and BILLIONS of dollars of oil revenue at stake and US ambition to remain No. 1 World leader in terms of economic
prowess, military power and political influence...
Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za...
Gazeti la Uingereza la Financial Times linathibitisha kuwa Rais wa Marekani Donald Trump hivi majuzi alimuuliza Volodymyr Zelensky iwapo Ukraine inaweza kushambulia Moscow na St. Petersburg.
Wa...
Serikali ya Eswatini imethibitisha kuwa inawashikilia wahamiaji watano waliotolewa Marekani na kuwekwa katika vyumba maalum vya gereza, kufuatia makubaliano ya muda mrefu na utawala wa aliyekuwa...
Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili...
Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria...
Vikwazo ni suala moja, lakini kuvitekeleza ni suala jingine kabisa. Wavuvi wanasema, “Paka hawezi kumjeruria Mpishi“ 😂 Wazee wa teknolojia! NVIDIA imetangaza kurudi China bana . Juzi (jumatatu)...
Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje...
Wakuu,
Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali...
Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi nyingine za hali ya juu na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi.
Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J 35 ila kila kitu...
Waziri wa Kazi wa Cuba, Marta Elena Feitó Cabrera, amejiuzulu baada ya kudai kuwa hakuna ombaomba nchini humo, akisema wanaochakura takataka hufanya hivyo kwa hiari ili kupata “pesa rahisi”...
Watafiti wa China wanasema wanaweza kugundua ndege ya kivita ya F-35 inayotengenezwa Marekani kutoka zaidi ya kilomita 1,800 kwa kutumia moshi wa injini yake.
Watafiti wa China wanasema...
Ripoti ya Channel 12, kwa mara ya kwanza imefichua hadharani kuwa, ndege ya kivita ya Israel F-15 ilikaribia kutua katika ardhi ya Iran wakati wa vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran.
Ndege...
Niaje waungwana
Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la...
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha...
Rais wa Cameroon, Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa urais utakaofanyika October 12, 2025
Biya, ambaye ni kiongozi wa taifa...
Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95.
Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta...
Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake...
Baadhi ya wanachama wa kihafidhina wa vuguvugu la Donald Trump la "Make America Great Again" wamejibu kwa hasira mipango ya rais ya kuiuzia Nato silaha, wakisema ni usaliti wa ahadi yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.