SaintErick
Member
- Aug 7, 2013
- 95
- 61
Trump anataka ushindi katika vita ambayo 'hapigani' na Putin anataka ushindi dhidi ya 'dunia nzima'. Na kila mtu yuko tayari kufanya lolote kuhakikisha anashinda. Hili linaleta hatari ya vita nyingine kubwa zaidi duniani endapo mmoja atakosea hesabu za namna ya kuupata ushindi anaoutaka.
Na kwa hulka zao ni ngumu kutabiri matokeo ya maamuzi yao lakini kwa hakika kuna hatari ipo inainyemelea dunia na viongozi hawa wanapaswa kupiga vizuri hesabu zao.
Soma zaidi hapa>>>
kielelezo.blogspot.com
Na kwa hulka zao ni ngumu kutabiri matokeo ya maamuzi yao lakini kwa hakika kuna hatari ipo inainyemelea dunia na viongozi hawa wanapaswa kupiga vizuri hesabu zao.
Soma zaidi hapa>>>