Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa...
dah jana sikuamini
mlivyoamua kushangiliq wamoroco
hivi mmelogwa
mmnwezqje kuandaa mashindano na mwishoo mnaishia kushangilia
timu za wageni.........Wageningen..........
Nawaza.mmelogwa ama
Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake.
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko...
Iblisi ni kiumbe miongoni mwa majini ambaye huwapambia binadamu matendo yaliyo maovu sana akitumia fursa aliyoiomba siku alipoumbwa binadamu.
Hata hivyo Iblisi mara mtu anapotenda lile ovu...
Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.
Kauli hiyo ya muongoza ndege...
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo...
Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini.
Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo...
Kyiv imeshambuliwa usiku kucha na shambulio la anga la pili kwa ukubwa lililofanywa na Urusi tangu uvamizi wake kamili wa Ukraine, ambapo watu wasiopungua 23 wameuawa, wakiwemo watoto wanne, kwa...
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku...
Kama hakuna adui kutokea ndani hakuna kitakacho kutokea.
Check your inner circle.
Malizia na Bongo ?
Yes, malizia na Bongo!!
1.Amebakia Nani ?
2.Vipi nchini kwako hayajatokea haya ?
Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira
1. Italy
Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical...
Nchi nyingi za Mashariki ya kati na Asia ya kati zina sheria kali sana linapo kuja suala la kukabiliana madawa ya kulevya,hizi ndo nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya kukiepuka kitanzi...
Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya...
Wanaukumbi.
Kufuatia uamuzi wa Uturuki wa kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir alichapisha kwenye X...
Hamas Yatishia Kuwachinja Mateka Waisraeli kwenye Kamera
Katika taarifa yake ya kusikitisha leo, msemaji wa Hamas Abu Ubaida alitangaza kwamba Hamas iko "tayari ya hali ya juu" kwa uwezekano wa...
IDF iliondoa kundi la kigaidi la juu zaidi la ISIS katika Ukanda wa Gaza.
Katika wiki iliyopita, IDF, ikitumia ndege chini ya Kamandi ya Kusini na ikiongozwa na Ujasusi wa Kijeshi, ilimpiga na...
Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen...
BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani.
Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu...
Ndugu Wana jamii nawasalimu wote kwa pamoja....!!
Hivi Wana jamii huyu Marekani anawatafuta nini wa Venezuela? Anajua anachokoza moto usiozimika kirahusi au ndo kujitoa ufahamu tu?
Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.