Al Qaasam Brigade spokesperson, Abu Ubaida Is No more

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,433
Reaction score
21,446
Msemaji wa kundi la Hamas Abu Ubaida ameangamizwa Leo na jeshi la Israel tumuombee inshallah afike salama huko kuzimu anapoelekea Kwa sasa.

Heko IDF Kila gaidi aliyehusika na tukio la Oct 7 lazima apate haki yake.
Screenshot_20250831-084317_1.jpg
Screenshot_20250831-082421_1.jpg
Screenshot_20250831-082621_1.jpg
 
Kuna muda inabidi tufiche aibu zetu. Huko Iran inaweza ni kweli waliona madhara kwa raia wao yanakuwa makubwa wakaamua kuomba vita isimame lakini hiyo ni baada ya kuwaua viongozi wakuu wa kijeshi karibu wote wa Iran.

Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba Israel ni wababe na wanaweza vita, Houthi walionywa hawakusikia, Juzi kauliwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Houthi (siyo wa Serikali Yemen) pamoja na karibia baraza lake lote.

Ubaida alitishia juzi kuwaua mateka wa kiyahudi, jana kauliwa wewe. Kitu cha kusikitisha ni kwamba wakati anatoa kauli za Kishujaa alikuwa kwenye majengo ya kiraia yeye na familia yake. Hiyo imepepekea kuuawa yeye na familia yake na watu wengine wasiyo na hatia.

Tunawasifia Hamas lakini ukweli ni kwamba Israel wanapata shida sana kutambua yupi ni raia na yupi ni Hamas.
Kwa maelezo haya unathibitisha kua Israel kwenye vita dhidi ya nchi zinazo lingana uwezo ki jeshi kama Iran hana ubavu wowote,

Yeye aendelee kudeal na vikundi tu asante.

Na kuuliwa viongozi wakuu kwa mbinu za kigaidi haina maana kwenye medani za kivita .
 
MKUU HUWEZI KUJITAMBA WEWE MBABE WA VITA KWA KUPIGANA NA HOUTHI,HAMAS NA HEZBOLLAH WACHA COMEDY WEWE
 
Kusema hana ubavu wowote siyo sahihi kwa sababu aliweza kuingia Iran na kufanya mashambulizi kwa zaidi ya siku 10.
Tofauti ya Israel na mataifa anayopigana nayo vita ni kwamba Israel au wayahudi wanapenda kuishi kwa hiyo wao vifo vya raia ni hasara kubwa ambayo huwa hawapendi kuivumilia lakini mataifa anayopigana nayo wao wanahisudu kifo, kwao kufa ni sherehe.

Ndo maana wewe ambaye unashabikia upande ambao wanafurahia vifo unaona kama Israel haina ubavu.

Ugaidi ni kuua raia wasiyo na hatia. Israel haikufanya ugaidi kuua viongozi, kwa sababu hao viongozi ndo huwa wanafanya maamuzi ya vita bila hata kupata ridhaa ya wananchi
 
MKUU HUWEZI KUJITAMBA WEWE MBABE WA VITA KWA KUPIGANA NA HOUTHI,HAMAS NA HEZBOLLAH WACHA COMEDY WEWE
Kwenye vita ya siku 10, Iran ilikuwa Hezbollah au Hamas. Halafu ni hivi, inaweza kuwa ngumu zaidi Israel kupambana na Hamas kuliko kupambana na Iran.
Kumbuka Israel wanahusudu na kufurahia kuishi wakati hao unaowashabikia wanahusudu na wanafurahia kufa.
 
Fools keep dreaming

Disclaimer: Abu Obeida, the official spokesman for the Qassam Brigades, is fine, and the Zionist rumors are untrue. 🇵🇸🔻
 
Attachments

  • IMG_20250831_103402_274.jpg
    IMG_20250831_103402_274.jpg
    47.6 KB · Views: 31
Msemaji wa kundi la Hamas Abu Ubaida ameangamizwa Leo na jeshi la Israel tumuombee inshallah afike salama huko kuzimu anapoelekea Kwa sasa.

Heko IDF Kila gaidi aliyehusika na tukio la Oct 7 lazima apate haki yake.
View attachment 3459597View attachment 3459598View attachment 3459599
 
Attachments

  • 1756632849936.jpg
    1756632849936.jpg
    388.1 KB · Views: 32
Hahaha huhuu kwikwi kwi mko wapi kina adriz Adiosamigo green rajab gallow bird Kosugi Ritz nawaita kwa sauti mmejificha wapi?
Nipo leo nilikuwa napiga nundu na ugali afu pembeni nasukumia juice ya mabungo sa hapo ndio ujuwe faida ya kuwa Muislam 4 in 1 tumewazidi hesabu hata wakristo wao 3 in 1.

Lakini yetu ni ya kingosha kama wanavyo sema watani zangu wasukuma, unaweka wanawake 4 ndani, nyie hesabu yenu ya kishoga haina solutions kabisa, vipi mtu ajigeuze geuza kama kinyoga mara 3 ndio sababu wengi mnakuwa misenge mtu anataka kujibadili kutoka uwanaume eti awe kama mwanamke, wale wamepewa chombo special nyie chombo chenu kwenye uharo. Wacheni mchezo wakujibadili badili msimuige mungu wenu yeye kinyonga 1=3😁
 
Hahaha kobaz bana
 
Huyu jamaa ni vigumu kumthibitisha KWA sababu huwa anajificha uso akiongea.
Hivyo hata wakimuua anaweza kuibuka mtu mwingine akasema ndio yeye
 
Back
Top Bottom