International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Sekta ya kwanza ya anga duniani kubadilisha Boeing 777 kutoka ndege ya abiria hadi ndege ya mizigo✈️ Israel Aerospace Industries (IAI) imerekodi mafanikio mengine ambayo hayajawahi kushuhudiwa...
2 Reactions
6 Replies
638 Views
Wafungwa wa gereza moja nchini Malawi wamewagomea maafisa wa tume ya uchaguzi baada ya kutoridhishwa sababu za wao kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Tukio hili limetokea wakati viongozi wa tume...
3 Reactions
3 Replies
412 Views
Katika bara la Afrika, pikipiki zimekuwa njia ya kujipatia riziki kwa zaidi ya watu milioni 5, jambo ambalo limetokana na ustawi wa biashara ya mtandaoni katika miaka ya hivi karibuni. Kufuatia...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Gwaride la kijeshi la Beijing laanza na mizinga kurushwa kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa China dhidi ya Japan katika Vita vya Pili vya Dunia.
3 Reactions
5 Replies
658 Views
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua...
3 Reactions
78 Replies
3K Views
Baitul haram iliyopo Makka ndiyo nyumba ya mwanzo duniani kujengwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu (Allah). Nyumba hii iiinuliwa kuta zake kwa mara nyengine na nabii Ibrahim na mwanawe...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna tunzo hutolewa kwa wahusika hata kama hawapo.Vile vile zipo na adhabu ambazo hukumu hutolewa kama mhusika yuko mbali. Kwa upande wa Netanyahu inaonesha amekubali kazi ya kuwafuta Hamas...
7 Reactions
8 Replies
482 Views
Vyombo vya habari vya Guinea vinaweza kutoa nafasi kwa vyama vilivyopigwa marufuku kabla ya kura ya maoni ya Septemba, Rais wa udhibiti wa vyombo vya habari nchini humo alisema, akibatilisha...
1 Reactions
3 Replies
365 Views
Ghana's President John Mahama has fired the country's Chief Justice Gertrude Torkornoo following a recommendation by an inquiry. She had been on suspension since April after complaints were...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Kuna taarifa za kuaminika mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imesikika kwenye mitaa ya Tehran, Tunasikia wanaume wameshaingia huko ku Test Mitambo “ Yajayo yanafurahisha”
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya...
1 Reactions
0 Replies
619 Views
Wakuu, Maporomoko mabaya ya ardhi katika eneo la Darfur nchini Sudan yamefuta kijiji kizima, yakiua zaidi ya watu 1,000 na kumuacha mtu mmoja pekee hai, kwa mujibu wa Harakati ya Ukombozi wa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho. Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa ulihitimisha shughuli za mfano wa uigaji wa Umoja wa Afrika kwa wanafunzi wa Shule za Ubora wa Sayansi na Teknolojia (Steam) chini ya kauli mbiu "Haki kwa...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Uongo uliopitiliza; Msichana wa Gaza "alipigwa risasi kifuani na majeshi ya Israel madaktari wanaitoa risasi hiyo mgongoni kwa msichana huyo cha ajabu hakuna damu, hakuna jeraha, na ganda la...
0 Reactions
5 Replies
464 Views
Wanaukumbi. Ubelgiji itaitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prevot alitangaza Jumanne, akiongeza kwamba...
2 Reactions
19 Replies
855 Views
WOW: Israeli ilifanikiwa kuzindua Ofek 19 - satelaiti mpya yenye nguvu ya kijasusi iliyojengwa kulinda na kutetea nchi ya Israel!! Hatua nyingine katika teknolojia ya ulinzi ya Israeli...
3 Reactions
14 Replies
674 Views
Mkuu wa Majeshi Eyal Zamir: 'Tunaishambulia Hamas katika kila sehemu ya Mashariki ya Kati. Hawana pa kujificha kwetu, na tutawaangamiza popote tuwapatapo, wakubwa au wadogo. Tayari tumeanza...
2 Reactions
2 Replies
343 Views
Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁. Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha...
1 Reactions
3 Replies
345 Views
Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa. Xinhua|June 24,2025 The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom