Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁.
Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha...
Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.
Xinhua|June 24,2025
The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the...
Maneno hayo aliyasema Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu miaka 25 iliyopita akiziasa nchi za Magharibi kuhusu kupambana na Magaidi lakini hawakumuelewa lakini sasa hivi wanakumbuka maneno...
‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.
You
Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina.
Baada ya hapo akasema yeye anataka...
Ugiriki imefunga zaidi ya shule 700 kutokana na upungufu wa wanafunzi kufuatia kupungua kwa idadi ya watu.
Wizara ya Elimu imetangaza kwamba shule 721 kati ya shule 13,478 za Ugiriki...
IDF inasema inakamilisha maandalizi ya mwito mkubwa wa askari wa akiba kabla ya Operesheni ya Gideon's Chariots II. Wanajeshi wanapewa zana kamili za kivita na kupewa mafunzo kwa ajili ya vita vya...
Kilichoipta Urusi kule Afghanistan miaka ya 1979 na Marekani kule Vietnam mwaka 1975 na Afghanistan tena mwaka 2021 ndicho kilnachoelekea kuipata Israel huko Gaza mwaka huu 2025
Marekani na...
Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya...
Wakuu,
Burkina Faso imepitisha sheria mpya inayokataza masuala ya ushoga.
Sheria hiyo mpya, iliyopitishwa kwa kauli moja na bunge la mpito, inasema kuwa eyote atakayepatikana na hatia ya...
Rais Isaac Herzog atasafiri hadi Vatican siku ya Alhamisi kwa ziara ya siku moja, ambapo atakutana na Papa Leo XIV na Kardinali Pietro Parolin.
Mazungumzo yanatarajiwa kulenga kuachiliwa kwa...
By Dickson Ng’hily
Prologue: The Voice They Couldn't Contain
For decades, the Catholic Church in Tanzania had in its ranks a man of rare clarity—Bishop Methodius Kilaini. Scholar, canon lawyer...
Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo.
Hatua...
Idhaa ya Saudia ya Al-Hadath jana ilichapisha picha za mwanamume wa Gaza kutoka vitongoji vya kaskazini mwa Gaza City, ambapo alitangaza kwamba hatahama eneo hilo kama walivyoamriwa na majeshi ya...
Baada kuficha kifo cha Gaidi Mohamed Sinwar kwa muda mrefu leo hii Hamas wameamua kusema wazi kuwa Gaidi Mohamed Sinwar ndugu yake na Yahya Sinwar alikufa huko Gaza!!!
Hii inadhibitisha wazi kuwa...
Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia'
Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja...
My Take
Nchi za wanaojitambua zinachangamkia fursa ya kiuwekezaji na Nchi za Kiarabu ambazo zinapambana ku diversify Uchumi zao kutoka kutegemea Mafuta na kutafuta vyanzo vingine lakini hapa...
Israeli hawana chaguo ila kuchukua hatua.
Uongo wa Hamas ya Palestina kusema Gaza ina njaa na huku magaidi hao kuwatesa mateka wa Israel katika mahandaki yao huko Gaza na israel ilishaapa mauaji...
Nilishaandika uzi hapa, Historia yq Urusi na vita zake. Si allied wa kumtegemea hata siku moja.
Urusi ameshawageuka allied wake wengi before, Diplomasia ya Urusi ni baada ya kushindwa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.