gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,491
- 18,027
Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake.
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea.
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea.