Mtoto wa miezi 18, Vincent Fiordilino aliyekuwa ametangazwa kufariki dunia Nchini Marekani baada ya kuzama kwenye bwawa la kuogelea, alikutwa akiwa bado hai saa kadhaa baadaye katika chumba cha...
Na wala sio jambo jipya, waliwahi kufanya hivyo 2024. 2025 vita ya siku 12 na hata mwaka huu, Hakuna hata ndege moja ya Israel iliyozuiliwa na mifumo ya anga ya Iran. In simple ni kwamba Israel...
A picture is worth a thousand words
https://www.youtube.com/watch?v=crXNFWfPliE
https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw
https://www.youtube.com/shorts/lCWMlYIS8uU...
Idadi ya vifo kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyotokea nchini Venezuela imeongezeka na kufikia 3,342, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na wizara ya habari ya nchi hiyo siku ya...
Jioni ya march 17 Iran wametangaza kwamba kikosi cha majasusi kutoka Iran wamefanya Operesheni walioiita "Operation Delete" na kufanikiwa kumueliminate Senior mmoja ambaye ni waziri ndani ya...
Mbunge Siglada Mligo ni Mbunge anapigania Wananchi wa Tanzania pamoja na kupewa vikwazo mbalimbali za Taarifa na Miongozo kutoka kwa Wabunge wa ccm!!!!
Watanzania tumuunge mkono Mbunge huyu!!!
Haya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote.
Yaani hawata subiri mtu aseme...
Tulisema sisi wakati flani. Irani kuna siku atakuwa anaomba ili afanye mambo yake basi Israel ifunge zip. Yaani kwa sasa Iran haiwezi piga deki au kunyanyua kiti Israel ikiwepo. Inajua...
Shughuli za kijeshi za Israeli dhidi ya kundi la kigaidi la Hezbollah ziliongezeka kote kusini mwa Lebanon usiku kucha na leo, huku mashambulizi makali ya anga katika maeneo ya Bint Jbeil na...
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.
Miezi minne sasa ana hofu...
Wazungu wanaoishi nchini Afrika ya Kusini sasa wameamua.
Hawapendezwi na chuki na ubaguzi unaofanywa na wanaojiita wazawa wa hiyo nchi.
Naomba tumsikikize ili tupate pa kuanzia.
IN CONGRESS, July 4, 1776.
The unanimous Declaration of the thirteen united States of America,
When in the Course of human events, it becomes necessary for one people to dissolve the political...
Wanakumbi.
🇪🇺🇮🇷 Mataifa ya Ulaya yanaonekana kukubali kimya kimya ada za Iran kwenye usafiri wa Mlango wa Hormuz kama jambo lisiloepukika.
Sasa wanalenga tu kuhakikisha ada hizo zinatumika sawa...
Kwa kweli vita hii ya Iran na Marekani imetuonyesha kuwa Marekani siyo nchi ya kuiamni hata kidogo hata mkiingia nayo Makubaliano. Hazikupita hata wiki mbili tangu Marekani na Iran wawekeane...
Iran has warned the US and Israel against any attacks during the upcoming funeral processions for late Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, who was killed in the opening strikes of the war, as...
Wamesema IMETOSHA!! Kama marungu na sisi tunayo. kama mapanga na sisi tunayo na chochote, wala hatutanyanyaswa tena kizembe! Wameingia mitaani wakisema liwalo na liwe...
Bunge la Kitaifa limetoa idhini ya awali kwa Sheria mpya ya Muezzin, ambayo ingezuia matumizi ya vipaza sauti vya misikiti wakati wa saa fulani na kuwapa mamlaka mamlaka ya ziada ya kutekeleza...
Mashambulizi ya Israeli yalifanywa katika maeneo kadhaa ya kusini mwa Lebanon usiku kucha, huko Beit Yahoun, Sijdin na Jabal al-Batm.
Vitisho vya Iran ni sawa na Panya kumtishia Paka
Wizara ya Ulinzi ya Israeli na kampuni ya teknolojia ya ulinzi ya Rafael wamekamilisha kampeni mpya ya majaribio ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Iron Dome, wakianzisha maboresho yaliyoundwa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.