International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Navy wanasema ametenda kitendo kisichokubalika kuchora kiungo cha uzazi kwa mvuke wa fighter jet huko angani. Mwenyewe Ramone Duran anasema baada ya kuchora nikautazama mchoro Wangu kisha...
2 Reactions
84 Replies
12K Views
A man gestures towards a banner during a demonstration demanding the resignation of Zimbabwe's president on November 18, 2017 in Harare. Country’s MPs are set to vote on whether to impeach...
0 Reactions
5 Replies
990 Views
Chama cha rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kinatarajiwa kuanza mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae. Afisa wa Zanu-PF amesema kuwa hoja ya kumnyang'anya urais itawasilishwa bungeni leo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mugabe: Kamwe sitamwamini Mzungu Asema wazungu kwao si Afrika “KAMWE sitamwamini Mzungu hata siku moja, mweupe pekee wa kumwamini ni yule aliyekufa, wazungu kwao si Afrika, Afrika ni ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau Habari za hivi punde zinasema Rais Mstaafu wa Zambia Kenneth Kaunda amewasili Harare ili kumshawishi mpigania uhuru mwenzake Comrade Mugabe ajiuzulu kwa heshima. Mhesh Kaunda amefanya...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amekubali kujiuzulu kwa masharti kwamba yeye na mkewe Grace Mugabe wapatiwe kinga ya kudumu na mali zake binafsi zisiharibiwe wakati wa maisha yake yote baada ya...
2 Reactions
128 Replies
25K Views
It is fair for all africans leaders and all africans to stand for Mugabe and against imperialism. Africans should say no in a moment of crisis when we decide if Mugabe is a bad guy to Africans...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuonesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara. 1. The SADC Organ...
4 Reactions
105 Replies
9K Views
Tumeshuhudia jeshi la Israel likifanya mashambulizi kadhaa ndani ya nchi ya Syria katika operation tofauti tofauti kama vile kuharibu silaha za zinazohofiwa kusafirishwa kwa Hezbollah, kuharibu...
12 Reactions
70 Replies
14K Views
Wakati Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe akihutubia Taifa hapo jana katika hotuba ambayo wengi walikuwa na matumaini kuwa Mugabe atajiuzulu na siyo ilivyokuwa, jambo lisilotegemewa lilijiri ambapo...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Shirika moja la reli Japan limeomba radhi baada ya moja ya treni zake kuondoka sekunde 20 mapema. Wasimamizi wa shirika la treni za reli ya Tsukuba Express kutoka Tokyo hadi Tsukuba wanasema...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
How China helped depose 'dozing despot' Mugabe (click) sources Daily mail
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu nashindwa kuelewa mawazo ya Komred Mugabe,anaamini Kule anachoamini kuwa aongoze mpaka kifo kitakapo mkuta na ikiwezekana wananchi wachague maiti akifa huyo ndio IMANI ya Mzee wetu...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Hivi hili la Zimbabwe tumeamua kukaa kimya? Tumeshiriki kuikomboa na kuijenga ile nchi. Tumeamua kuacha Mugabe afike hatua hii? Nini nafasi ya CCM kwenye vyama hivi vya ukombozi ambavyo...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau hii sio habari nzuri hata kidogo Huko Nchini Australia Wananchi Wamepiga kura Kwa Wingi wa 61.6% Kuruhusu mapenzi ya jinsia moja. Mara baada ya matokeo kutangazwa wananchi sehemu mbalimbali...
3 Reactions
80 Replies
7K Views
Madaktari nchini China wamefanikiwa kubadilisha kichwa kutoka kwenye mwili wa MAITI moja na kuuweka kwenye mwili wa MAITI nyingine, Wanaamini kabisa inawezekana kuweka kichwa kingine kwa mtu...
0 Reactions
77 Replies
9K Views
Zimbabwe President Robert Mugabe has refused to eat since Saturday in a protest against his house arrest Mugabe's nephew Patrick Zhuwao said on Saturday that Mr Mugabe was 'willing to die for what...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni mwezi mmoja tangu ndege aina ya helkopta iliyokuwa imeanguka ziwani Nakuru imeondolewa ambapo ilichukua juhudi za mashirika kadhaa kufanikisha hilo. Katika tukio lililoshuhudia ndege aina ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hali ya sintofahamu inazidi sambaa nchini Zimbabwe tokea Makamu wa Rais afukuzwe madarakani na Rais Mugabe >> Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wa Rais Jeshi la nchi hiyo limeanza...
16 Reactions
1K Replies
145K Views
Habari wanaJF, Nimeona ni vyema nikawapitisha kwenye wasifu mfupi wa ndugu Emmerson Mnangagwa ambaye anatajwa sana hivi sasa katika mgogoro wa kisiasa unaondelea katika nchi ya Zimbabwe...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…