SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,078
Rais Yoweri Kaguta Museven ameahidi neema za "Mito ya asali na maziwa" kwa watumishi wake wa umma hususani WANAJESHI,amewahakikishia MAISHA BORA,na mambo kedekede.
Lakini wakati akiyasema hayo MADAKTARI nchini humo wana mgogoro na serikali na wanadai nyongeza ya salary.
Maneno matam kwa wanajeshi wake ni ishara kwamba "ANAWAPUNGA" ili wasije kuchafua hali ya hewa kama sehem nyingine barani AFRIKA.