International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu naombeni mnisaidie. Mimi nilikuwa Napanga nyumba mjini lakini nikabahatika kujenga nyumba nje kidogo ya mji na nilihamia mwaka Jana japo haijakamilika 100%. Tatizo linalonikabili ni panya na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hatimaye Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa (UN) wamekubaliana kuwaondoa Wahamiaji takribani 15,000 waliokwama nchini Libya ifikapo mwishoni mwa mwaka 2017. Wahamiaji hao wamekuwa wakiuzwa...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Rais Idris Derby wa Chad ameamua kungilia kati biashara ya utumwa dhidi ya Waafrika inayoendelea nchini Libya, na kulipa taifa hilo masaa 24 ili kuwaachia Waafrika wanaoshikiliwa kama watumwa...
4 Reactions
41 Replies
7K Views
Yuko paradiso huko akila maisha na wake zake watano na watoto kibao, analipwa dolla za kimarekani 100,000/= kwa mwezi. Nasikia hata Balali alikimbilia huko; hivi huko Bahamas kuna nini...
6 Reactions
100 Replies
25K Views
Polisi katika Jimbo la California wanamtafuta kijana mmoja aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akimtupa Paka hewani na kumuacha aanguke chini. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi inasema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
*GOOD NEWS KWA WANAWAKE WOTE TANZANIA>>>PLZ, SHEA KWA WOTE UNAOWAJALI..[4 WEEKS U.S PROGRAMMES KWA WANAWAKE ,YOUNG ENTREPRENEURS,>>FURSA KWA KINA DADA]* ✈ *CHUO CHA SUA KWA USHIRIKIANO NA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja jijini New Dehli nchini India amekamatwa na polisi kwa kosa la kuvua viatu vinavyotoa harufu mbaya kwenye basi la usafiri wa umma kwa kusababisha vurugu kwa abiria waliokuwa kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
inasemekana huyu ni mtoto wa rais mpya wa zimbabwe aliyeapishwa leo,ndg.emerson mnangagwa. screenshot/picha zinajieleza.karibuni kwa tafakari.
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Mbunge mwanamume nchini Australia ameposa kwa mpenzi wake wa kiume wakati wa kikao cha bunge cha kujadili kuhalalishwa ndoa za jinsia moja. Tim Wilson alimchumbia Ryan Bolger ambaye alikuwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wahudumu kwenye ndege ya shirika la Cathay Pacific iliyokuwa katika anga ya Japan waliripoti kuona Kombora la Korea Kaskazini lililokuwa likifanyiwa majaribio wiki iliyopita. Shirika hilo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu tarehe 01.01.2017 mpaka sasa bila shaka kuna MATUKIO kadhaa ya kusisimua yaliyoweza kutokea Duniani. Naomba tukumbushane kwa kutaja matukio matano(5) tu unayoyakumbuka.
0 Reactions
8 Replies
970 Views
Mahakama ya Juu imeunga mkono kutekelezwa kwa mpango wa Rais Trump unaopiga marufuku Raia kutoka nchi sita za Kiislamu(Chad, Iran, Libya, Somalia na Yemen) kuingia nchini humo. ====== Handing...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Serikikali ya Rais Donald Trump imejitoa kwenye mpango wa Umoja wa Kimataifa wa kuweka mazingira yaliyobora kwa wahamiaji na wakimbizi Serikali imetaja sababu za kujitoa kwenye huo kwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hospitali kwenye mji mkuu wa India, Delhi imewafuta kazi madaktari wawili waliotangaza kimakosa kuwa mtoto aliyekuwa amezaliwa alikuw amekufa. Madaktari kwenye hospitali ya kibinafsi ya Max...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Hospitali kwenye mji mkuu wa India, Delhi imewafuta kazi madaktari wawili waliotangaza kimakosa kuwa mtoto aliyekuwa amezaliwa alikuwa amekufa. Madaktari kwenye hospitali ya kibinafsi ya Max...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Misri, Ahmed Shafiq imesema haina taarifa wapi aliko ndugu yao baada ya kutangaza ana azma ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwakani. Shafiq ambaye ni...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametangaza mpango wa kutengeneza fedha mpya ya nchi hiyo katika kujaribu kuunusuru uchumi wa nchi hiyo. Amesema fedha hiyo iitwayo Petro itaimarishwa na utajiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kuanzia mwezi Mei 1997 mpaka Juni mwaka 2007, Tony Blair athibitisha kuwa anafanya jitihada za kurudiwa kwa mchakato wa Uingereza kujiondoa Umoja wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Macron publicly 'humiliates' Burkina Faso president as French leader's Africa trip goes wrong Kamwambia rais wa Burkina Faso kwenye kadamnasi ya wanafunzi wa chuo kikuu, kamwambia nchi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu wa kitengo cha habari za uchunguzi wa shirika la habari la ABC News, Brian Ross asimamishwa kazi kwa wiki nne bila ya malipo baada ya kuripoti kuwa aliyekuwa mshauri wa Rais Trump katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom