ZIMBABWE: Mnangagwa aunda baraza la mawaziri, awazawadia maafisa wa jeshi waliomsaidia wizara muhimu

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
ZIMBABWE: Rais Emmerson Mnangagwa ameunda baraza jipya la mawaziri, amewaweka maafisa wa jeshi waliomuunga mkono katika wizara kadhaa na pia kuwabakisha maziri wengi wa kipindi cha Mugabe.

Mnangagwa amamteua Sibuso Moyo, jenerali aliyejitokeza kwenye TV ya taifa baada ya jeshi kuingilia, kuwa waziri wa mambo ya nje

Pia amemteua kiongozi wa jeshi la anga la Zimbabwe Perence Shiri kuwa waziri wa kilimo na ardhi

Pia amewabakisha maawaziri wengi waliokuwemo kipindi cha Mugabe

Pia amewapa wizara viongozi wa chama cha waliopigana vita ya ukombozi waliokuwa wakimuunga mkono wakiongozwa na Chris Mutsvangwa amepewa wizara ya habari

Mkosoaji wa serikali Tendai Biti amesema kuwa Wazimbabwe walikosea kudhani kungekuwa na mabadiliko yoyote

========================================================
Emmerson-Mnangagwa-ngwena.jpg

Zimbabwe's new president Emmerson Mnangagwa has named his cabinet, appointing senior military figures to high-profile positions.

Mr Mnangagwa has made Sibusiso Moyo, the general who appeared on state TV after the recent military takeover, the new foreign minister.

The head of Zimbabwe's air force, Perence Shiri, was named the minister of agriculture and land affairs.

Mr Mnangagwa was sworn in last week after Robert Mugabe agreed to resign.

The man who ruled Zimbabwe for 37 years stepped down after the military intervened following the sacking of Mr Mnangagwa as vice-president.

While the new president has chosen to keep many of Mr Mugabe's former cabinet ministers in office, Mr Mnangagwa has also awarded positions to military leaders who have previously supported him.

Aside from Mr Moyo and Mr Shiri, leaders of the powerful war veterans' association, who pushed for Mr Mugabe to go after the military intervention, also got cabinet jobs.

Chris Mutsvangwa, who heads the group, is now in charge at the information ministry.

The appointments led government critic Tendai Biti to suggest that Zimbabweans were "wrong" to have hoped for change.

Perence Shiri is a figure notorious for having led the military operation against opponents of Mr Mugabe in Matabeleland in the early 1980s.

The operation resulted in the killing of an estimated 20,000 civilians.
 
ZIMBABWE: Rais Emmerson Mnangagwa ameunda baraza jipya la mawaziri, amewaweka maafisa wa jeshi waliomuunga mkono katika wizara kadhaa na pia kuwabakisha maziri wengi wa kipindi cha Mugabe.

Mnangagwa amamteua Sibuso Moyo, jenerali aliyejitokeza kwenye TV ya taifa baada ya jeshi kuingilia, kuwa waziri wa mambo ya nje

Pia amemteua kiongozi wa jeshi la anga la Zimbabwe Perence Shiri kuwa waziri wa kilimo na ardhi

Pia amewabakisha maawaziri wengi waliokuwemo kipindi cha Mugabe

Pia amewapa wizara viongozi wa chama cha waliopigana vita ya ukombozi waliokuwa wakimuunga mkono,

Kiongozi wa operesheni ya kijeshi ya kumuondoa Mugabe, Chris Mutsvangwa amepewa wizara ya habari

Mkosoaji wa serikali Tendai Biti amesema kuwa Wazimbabwe walikosea kudhani kungekuwa na mabadiliko yoyote

========================================================View attachment 641560

Zimbabwe's new president Emmerson Mnangagwa has named his cabinet, appointing senior military figures to high-profile positions.

Mr Mnangagwa has made Sibusiso Moyo, the general who appeared on state TV after the recent military takeover, the new foreign minister.

The head of Zimbabwe's air force, Perence Shiri, was named the minister of agriculture and land affairs.

Mr Mnangagwa was sworn in last week after Robert Mugabe agreed to resign.

The man who ruled Zimbabwe for 37 years stepped down after the military intervened following the sacking of Mr Mnangagwa as vice-president.

While the new president has chosen to keep many of Mr Mugabe's former cabinet ministers in office, Mr Mnangagwa has also awarded positions to military leaders who have previously supported him.

Aside from Mr Moyo and Mr Shiri, leaders of the powerful war veterans' association, who pushed for Mr Mugabe to go after the military intervention, also got cabinet jobs.

Chris Mutsvangwa, who heads the group, is now in charge at the information ministry.

The appointments led government critic Tendai Biti to suggest that Zimbabweans were "wrong" to have hoped for change.

Perence Shiri is a figure notorious for having led the military operation against opponents of Mr Mugabe in Matabeleland in the early 1980s.

The operation resulted in the killing of an estimated 20,000 civilians.

Hakuna jipya. Uozo, ukatili na ufedhuli ni uleule! Tofauti ni mwelekeo wa mkuki!
 
Ni sawa tu, maana tunachojua ni Mugabe na Grace hawapo ikulu! Hata kama angemweka Tsvangirai kuwa Waziri mkuu ingekuwa sawa tu!
 
Mosi "always the former is the best"
Pili, "kwa siasa za kiafrika, unaweza kubadili shamba ila nyani ni walewale!!!"
 
Anawafukuza maofisa wa jeshi jeshini kiaina, baadaye anawapeleka nje ubalozini halafu watu wake jeshini wakikaa vizuri, hao wengine anawapiga chi ni!
 
Barza jipya la mawaziri ni kama lifuatavyo:

1. Waziri wa Fedha na Mipango - Patrick Chinamasa
2. Waziri wa Mambo ya Ndani - Obert Mpofu
3. Waziri wa Ardhi , Kilimo na Maendeleo ya vijijini- Air Marshal (Mkuu wa jeshi la anga la Zimbabwe) Perrance Shiri
4. Waziri wa Shule za Msingi na Sekondari- Dr Lazarus Dokora
5. Waziri wa Afrya na huduma za watoto- Dr David Parirenyatwa
6. Waziri wa Ulinzi, Usalama na wapiganaji wa zamani - Kembo Mohadi
7. Waziri wa Sheria, mahakama na masuala ya Bunge- Ziyambi Ziyambi
8. Waziri wa Mambo ya Nje- Meja jenerali Sibusiso Moyo
9. Waziri wa Nishati - Balozi Simon Moyo
10. Waziri wa habari na huduma za utangazaji- Bwana Chris Mutsvangwa
11. Waziri wa maliasili na Utalii- Bi Priscah Mupfumira

List inaendelea na kuna wizara 11 za mawaziri wanaoshughulikia majimbo pamoja na manaibu waziri sita.
 
Angewaweka Tendai Biti na Morgan Tsvangirai kwenye serikali yake. He has missed the trick to unite the country.
 
Back
Top Bottom