Upinzani nchini Syria watangaza kumuua ndege aliyetumiwa na Israel kufanya shughuli za kijasusi nchini Syria
Upinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa...
Benki Kuu ya Zimbabwe imeagiza akaunti za benki za mawaziri wawili ambo walikuwa ni kati ya washirika wakubwa wa Rais aliyeondolewa madarakani , Robert Mugabe zifungwe
Wawili hao walikuwa watu...
UN yatuma mjumbe North Korea, Dec 5-8, kufuatia offer iliyotolewa na North Korea juu ya mazungumzo. Hii ni mara ya kwanza kwa maafisa wa UN kuingia NK toka October, 2011.
Ikumbukwe kuwa NK...
Polisi nchini Italia wamemkamata mwanamume ambaye anadaiwa kutumia sumu ya kuua panya kuwaua watu wa familia yake kwa sababu hawakuwa "wasafi".
Mattia Del Zotto, 27, analaumiwa kwa kuweka sumu...
Korea Kaskazini wamefanya jaribio la kombora la masafa marefu linaoweza kuruka bara ,moja hadi jingine, kombora hilo limetua kwenye sehemu ya bahari inayomilikiwa na Japan
Maafisa wa Marekani...
Jaji ataka Rais wa zamani wa nchi hiyo, Cristina Fernandez de Kirchner akamatwe kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na kutumia siasa kujikinga.
Pia, Rais huyo ambaye ana kinga ya...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema, nchi hiyo inakuza uwepo wake na kuzidisha uhusiano na Afrika kwa kuwa ina imani na hali ya baadaye...
Rais Vladimir Putin ametangaza kugombea tena urais kwa muhula wa nne kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi Machi mwaka 2018 ambao anatarajiwa kushinda bila upinzani
Akishinda urais huo ataongoza...
Mwigizaji Clifton James, aliyeigiza kama Liwali JW Pepper kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.
Alifariki karibu na mji wake aliokulia wa Gladstone, Oregon, siku...
North korean official says pyongyang is not interested in diplomacy with the US until it develops a long range intercontinental ballistic missile capable of reaching "all the way to the east coast...
The Guy Found Hitler’s Secret French Bunker
Urban explorer and photographer Marc Askat braved the hunting season to walk through the thick wooded countryside in northern France. He was searching...
December 01, 2017
Accra, Ghana.
Akufo-Addo 'schools' France President Macron
Katika hotuba ya kumkaribisha Mh. Rais wa Ufaransa Bw. Emmanuel Macron, Rais wa Ghana Mh. Bw. Akufo-Addo alitoa kauli...
(Tishio la kigaidi la kumuua Waziri Mkuu wa Uingereza bi Theresa May kwa kulipua ofisi yake liligunduliwa na vyombo vya Usalama. Tukio hilo lilipangwa kulipua ofisi at 10 Downing st. na suicide...
China imefanya mazoezi ya kipekee ya kijeshi dhidi ya US kuchochea vita vya nyuklia Korea ya Kaskazini.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alisema ilihuzunisha kwa Marekani na Korea ya...
Vita vitakavyotokea kati ya North Korea na Marekani itapelekea Marekani kuporomoka kwa uchumi kwani itakuwa ni vita kubwa itakayochukua muda.
Marekani anaogopa kuanzisha vita kutokana na...
Karibu watu 27,000 walilazimishwa kukimbia manyumba yao usiku wa manane wakati moto mkubwa ulisamba kwa haraka kusini kwa jimbo la Carlifonia.
Watu wamehamishwa kwa lazima kutoka makwao katika...
UIBUKAJI WA BIASHARA YA UTUMWA MAMBOLEO NCHINI LIBYA: NANI ALAUMIWE?
Na Sabatho Nyamsenda
Nimeshtushwa, nimesikitishwa na kukasirishwa na taarifa kuhusu uibukaji na ueneaji wa biashara ya utumwa...
Aliyekuwa rais wa Yemen Ali Abdullah Saleh ameuawa katika mapigano na washirika wake wa zamani, taarifa zinasema.
Mashirika ya habari yanayodhibitiwa na waasi wa Houthi yamewanukuumaafisa...
Kama tulivyosikia hapo juzi, hamna silaha itakayoachwa kutumika, ushindi mapema kabisa, point tatu ziko wazi kabisa, tunasubiri wapige risasi ya kwanza waone, wanajeshi mil 2 wako tayari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.