Zimbabwe Kumkumbuka Rais Robert Mugabe

Zimbabwe Kumkumbuka Rais Robert Mugabe

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,088
Rais Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye alitwaa madaraka kwa msaada wa Jeshi la nchi hiyo ameteua Baraza la mawaziri na kutoa nafasi muhimu kwa maofisa wa kijeshi, mkuu wa majeshi ya anga Perence Shiri ameteuliwa kama Waziri wa Kilimo na Ardhi huyu mkuu wa majeshi ya anga amehusishwa na mauuaji ya wazimbabwe wengi miaka ya 80s waliokuwa wakimpinga rais Mugabe huko Matebeleland kiasi cha raia 20000 waliuwawa.
Pia amemteua Meja Jeneral Sibusiso Moyo kuwa Waziri wa mambo za nje huyu Jeneral Moyo ndio alitangaza kuondolewa kwa Rais Mugabe madarakani kwenye Televisheni ya nchi hiyo. Rais Mnangagwa wakati wa kuapishwa kwake alitoa ahadi ya kuunda serikali ya umoja na kuleta mabadiliko lakini hakuna hata kiongozi yeyote wa upinzani aliyepewa nafasi katika serikali hiyo mpya.
Wazimbabwe watakuwa wamesikitika sana kwa kuondoka kiongozi Dikteta na kuja na kutawaliwa na Dikteta mwingine.
 
Hivi kutoka Air Marshall hadi waziri wa vitunguu hiyo ni promosheni au dimosheni? Ukishafika level ye brigadier nafasi pekee za heshima za kuteuliwa ni ama secretary of state; secretary of defense, PM, or special representative to the UN or AU na sio eti mkuu wa wilaya, mkoa, au waziri sijui wa michezo au vitu gani sijui!
 
Kuna uzi humu unaodai Mtu mweusi ana roho mbaya siku zote.
Hata hivyo ngoja waje wachambuzi wa maswala haya..
 
Back
Top Bottom