Russians Seek Trump Properties to Give Birth to U.S. Kids
KATIE ZAVADSKI
09.06.17 10:50 PM ET
PHOTO ILLUSTRATION BY SARAH ROGERS/THE DAILY BEAST
Anatoliy Kuzmin held out his daughter’s blue U.S...
SEOUL (Reuters) - North Korea said after its first talks with South Korea in more than two years that it would not discuss its nuclear weapons with Seoul because they were aimed only at the United...
Kitengo cha uhamiaji nchini Ghana kimesema kuwa waliobadilisha rangi ya miili yao maarufu kama kujichubua na wenye michirizi mwilini hawana vigezo vya kupata ajira.
Taarifa hiyo iliyotolewa na...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, amemtembelea nyumbani kwake kiongozi wa upinzani wa Chama cha MDC-T nchini humo, Morgan Tsvangirai anayesumbuliwa na maradhi ya saratani.
Ziara hiyo...
Maafisa wa kuzima moto wameitwa katika jumba la Trump Tower katika kisiwa cha Manhattan jijini New York kuzima moto uliokuwa umezuka kwenye ghorofa ya juu ya jengo hilo.
Idara ya kuzima moto ya...
Wafanyakazi 32, wakiwemo wairan 30 na wawili kutoka Bengal, hawajulikani waliko baada ya meli mbili kugongana karibu na pwani ya mashariki ya China jana jumamosi, taarifa hii ni kwa mujibu wa...
Mwandishi wa kitabu cha Fury and Fire Inside the Trump White House Michael Wolff ameandika kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hupendelea muda wote kuagiza na kula chakula kutoka Macdonald's food...
Mwanafunzi mmoja ameuawa na wengine sita kujeruhiwa kufuatia maandamano yaliyofanyika nchini Sudan Kusini baada ya gharama ya mkate kuongezeka mara mbili zaidi,Ni baada ya serikali ya nchi hiyo...
North Korea hit own city with botched missile launch, report claims
3 minutes
North Korea hit one of its own cities during a botched ballistic missile test last year, according to a report.
A...
Nigeria is africa's biggest economy and yet these things are happening. Brothers and Sisters there is nothing in Europe or America. Stay at home and work harder there and wait for your day...
Opinion Mr. Kagame, Don't Cooperate With Israel's Asylum-seeker Expulsion
If Rwanda agrees to collaborate, there will be scenes of evil in Israel the likes of which haven't been seen since 1948...
FIRE AND FURY (moto na ghadhabu) ni kitabu kipya juu ya rais wa Marekani Donald Trump; uwezo wake wa uongozi na maamuzi yake kwa jumla. Kitabu hiki kwa ujumla wake kinamkashifu vikali bw. Trump...
Wakuu naomba kuulizia yale mamilioni ya dola yaliyoahidiwa na Barrick ya kuonesha nia njema kwenye mazungumzo ya makinikia yamefikia wapi? Maana tunataka kusahaulishwa as if haikutamkwa hadharani...
Trump: Kibonyezo changu cha nyuklia kina nguvu kuliko cha Kim
Haki miliki ya pichaEPA
Image captionTrump: Kibonyezo changu cha nyuklia ni kikubwa kuliko cha Kim
Rais wa Marekani Donald Trump...
Misaada ya kiusalama kwa Pakistan yenye thamani ya takriban dola milioni 900 itasitishwa hadi pale Pakistan itakapochukua hatua madhubuti kupambana dhidi ya kundi la wanamgambo wa Afghanistan la...
KAMPALA (Reuters) - Rwanda na Uganda wote walisema siku ya Ijumaa hawakuwa na mkataba wowote wa kuchukua wahamiaji wa Kiafrika kutoka Israeli chini ya mpango uliotakiwa na vikundi vya haki. Waziri...
Waziri wa uchukuzi nchini Israel anataka kuchimbwa reli ya chini kwa chini kwenye mji wa zamani wa Jerusalem karibu na Ukuta wa Magharibi na kupewa jina la Donald Trump.
Yisrael Katz alisema kuwa...
Hili tukio limetokea huko Hungary, mbwa mmoja amekesha usiku na mchana kwa wiki kadhaa alikinda mwili wa mmiliki wake aliefariki.
Huyo mbwa ameokolewa na polisi baada ya majirani kutoa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.