International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Uhusiano kati ya Mchungaji mwenye asili ya Malawi na serikali ya Botswana umeendelea kuyumba Serikali ya Botwana imelifungia kanisa la mchungaji Bushiri mwenye asili ya Malawi hii ni baada ya...
4 Reactions
26 Replies
9K Views
NAMIBIA: Serikali imekataza uingizaji wa vyakula vinavyoharibika kama matunda na nyama kutoka Zambia, kutokana na ugonjwa wa kipindupindu kuikumba nchi hiyo Hadi sasa watu wasiopungua 61...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ethiopia imepitisha sheria inayopiga marufuku wageni kuasili watoto raia wa nchi hiyo. Sheria hiyo imesifiwa na vyombo vya habari nchini Ethiopia, kwa hoja kwamba vitendo vya wageni kuasili watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Namibian government has provisionally banned the import of all perishable food, fish, fruits, unprocessed food and water from neighboring Zambia, which has been hit by a cholera outbreak that...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
9 Reactions
55 Replies
5K Views
The Zambia Tourism Agency announced that foreign travelers to Zambia now have the KAZA Visa available for their use. The visa is already being issued at four Borders (Kenneth Kaunda International...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Mufti Mkuu Misri asema Bitcoin ni haramu Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES Image captionBitcoin ilipoteza 25% ya thamani yake kipindi cha wiki moja Imam mkuu nchini Misri ameidhinisha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
ZAMBIA: Serikali imetangaza kufungwa kwa shule zote na kuzuia mikusanyiko ya aina yoyote kutokana mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambako takribani watu 61 wameshafariki na wengine 2,672...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
serikali ya Rwand iko kwenye mazungumzo na serika ya Israel kuhusu kuwapokea na kuwapa hifadhi wahamiaji wa kiafrika ambao serikali ya Israel inataka kuwafukuza. Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Ni dhahiri sasa kwamba wale Ant-Trumps huvi sasa wanakutana na wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule katika maisha yao ya kisiasa. Ilikuwa ni jambo la kawaida sana kwa watu kumkashifu na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Uganda woman kills husband for denying her sex
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamume mmoja katika mji wa Redding kaskazini mwa California, Marekani anadaiwa kuchoma moto nyumba akijaribu kumuua buibui. Kisa hicho kilitokea Jumapili kwa mujibu wa vyombo vya habari...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Angalieni wenyewe hiyo link chini
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Watu 226 wamejeruhiwa baada ya treni mbili kugongana kwenye kituo cha treni cha Geldenhuys, Germiston, mji mdogo ulioko mashariki mwa Johannesburg nchini Afrika Kusini leo asubuhi. Msemaji wa...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Watu wasiopungua 13 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa kusini mwa jimbo la California, Marekani, maafisa wamesema. Wengine 163 wamelazwa hospitali, 20...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Rais Donald Trump anasema kuwa ''itakuwa furaha'' kutetea wadhfa wake wa urais dhidi ya aliyekuwa nyota wa kipindi cha mazungumzo nchini Marekani Oprah Winfrey huku kukiwa na wito wa yeye kuzindua...
1 Reactions
0 Replies
959 Views
habarini wadau!! kheri ya mwaka mpya!!! ninachokisikia ni kuwa waziri wa mambo ya ndani wa donald trump anaitwa john kerry (sina hakika km linaandikwa hivyo). ninachokikumbuka ni kuwa waziri wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TRUMP KUPIMWA AKILI ? Yadaiwa rais wa Marekani Donald Trump akubali kupimwa usalama wa akili yake. Baada ya kuongezeka mashinikizo ya wananchi na vyombo vya habari vya Marekani, rais wa nchi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
HONDURAS: Tetemeko la ardhi lenya ukubwa wa 7.6 katika vipimo vya Richter limeikumba bahari ya Mediterranea karibu na pwani ya Honduras, hakuna madhara yaliyoripotiwa nchi kavu ila kumetolewa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wasiopungua 64 wamekufa maji katika bahari ya Mediterranea mwishoni mwa wiki baada ya boti ndogo waliyokuwa wakisafiria kuzama nje ya pwani ya Libya Maafisa wa uhamiaji walisema wahamiaji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom