International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wasichana katika eneo moja nchini Ghana wamepigwa marufuku kuvuka mto mmoja wanapopata hedhi, na pia kuuvuka mto huo Jumanne. Marufuku hiyo, ambayo inadaiwa kutolewa na miungu wa mto wa eneo hilo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali ya Kenya imezindua Ndege zake mpya aina ya Boeing 787 Dreamliner zenye uwezo wa kubeba abiria 234 kila moja ambazo zitafanya safari za moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi leo hii ningekuwa Rais ningefukuza balozi wa USA sasa hivi na sitaki misaada yao tena jitu linawatusi hafu viongozi wetu wamekaa kimya fukuza ubalozi wote kataa misaada yao basi kwani nini
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Nasema hivi sababu huyu rais wa Marekani akiwa ndani ya ofisi yake amewatusi wahamiaji wanaoingia nchini humo...nanukuu maneno yake ya kibaguzi ''Kwa nini tunawaruhusu watu hawa kutoka mataifa...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
hivi ni nchi gani inaongoza duniani kuwa na viongozi wengi ambao ni maprofesa, na tukipima mafanikio waliyoyaleta ni yepi? hapohapo, hivi tukichukua maprof kuwa viongozi, vyuo vikuu anabaki...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Kabla hatujasahau tukumbushane kitu muhimu ambacho kimepelekea au kunishawishi kuandika uzi huu. Katika ulimwengu huu wa sasa na kwa mda mrefu Marekani ndiye taifa kubwa na lenye nguvu katika...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Raisi wa Marekani amedai kuwa watu Kutoka Haiti na Africa wametoka chooni, au kwenye shimo la kinyesi! Raisi huyo amesema kuwa watu wa Haiti na Afrika na wengine ambao ngozi za siyo nyeupe ni kama...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA! Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Vyombo vya habari Wilayani Beni katika Nchi ya Jamhiri ya Kidemokrasia ya Congo vimeanza mgomo wa siku tatu baada ya Mwanahabari kutekwa na waasi. Wakati huo huo, Maaskofu wa Kanisa Katoliki...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Mahakama imewahukumu wauza nyama 6 kutumikia kifungo cha miezi 8 jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madawa ya kuhifadhia maiti kutunzia Nyama na Samaki Wiki iliyopita Mamlaka ya Jiji la...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
10 Ways to Tell if Your President Is a Dictator Just because the United States is a democracy now, it doesn’t mean it will stay that way. BY STEPHEN M. WALT | NOVEMBER 23, 2016, 9:02 AM . To...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kupitia kile inachokiita Kulinda Maadili, Serikali ya Burundi imetangaza kuwashughulikia watu wenye uhusiano wa kimapenzi wanaoishi kama mume na mke huku wakiwa bado hawajafunga ndoa halali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha zaidi ya miaka 60, serikali ya Sri Lanka imeondoa marufuku ya wanawake kunywa pombe. Kibali hiki cha wanawake kunywa pombe pia kitawaruhusu kufanya kazi katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa umelaani mpango wa Israel wa kuwaondoa wakimbizi kama usioeleweka na si salama, unaokusudia kuwafukuza maelefu ya wakimbizi Waafrika nchini humo. Shabaha ya mpango wa Israeli...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa Angola João Lourenço, amemfukuza kazi mtoto wa rais wa zamani wa nchi hiyo José Eduardo dos Santos ambaye alikuwa Mkuu wa mfuko wa utajiri wa taifa hilo. Rais Lourenço alikaririwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Buibui huyo anaaminika kuwa buibui mkubwa aina ya 'wolf spider' Mwanamume mmoja katika mji wa Redding kaskazini mwa California, Marekani anadaiwa kuchoma moto nyumba akijaribu kumuua buibui...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Summary. Must inspire confidences to next generation. Some african countries still paying colonial tax to France. Africans should have full control of their own currency and Economy. Some...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Huyu jamaa kiboko
1 Reactions
2 Replies
764 Views
Benki ya dunia imetoa ripoti inayosema kuwa uchumi wa dunia unatarajiwa kuimarika na kukua kwa mwaka huu, baada ya kuwa na matokeo mazuri kuliko ilivyotarajiwa mwaka 2017. Katika tathmini yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wasiopungua 600 wamekamatwa na nchini polisi Tunisia na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia vurugu zilizotokea katika maeneo mbalimbali nchini humo. Shule moja ya Kiyahudi pia ilishambuliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom