Rais Donald Trump anapendelea kula Macdonald's Fast Food kwa Kuogopa kupewa Sumu

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Mwandishi wa kitabu cha Fury and Fire Inside the Trump White House Michael Wolff ameandika kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hupendelea muda wote kuagiza na kula chakula kutoka Macdonald's food ili kuepuka kupewa chakula cha sumu. Kwa muda mrefu Rais Trump huwa na hofu ya kupewa chakula cha sumu kwahiyo huwa hapendi kutayarishiwa chakula na huenda kwenye mikahawa ya Fast Food ya Macdonald's na KFC kununua Burger ambayo huwa zinakuwa tayari zimetayarishiwa mteja wowote.

"[Trump] reprimanded the housekeeping staff for picking up his shirt from the floor: 'If my shirt is on the floor, it’s because I want it on the floor.' Then he imposed a set of new rules: Nobody touch anything, especially not his toothbrush. (He had a longtime fear of being poisoned, one reason why he liked to eat at McDonald’s — nobody knew he was coming and the food was safely premade.) Also, he would let housekeeping know when he wanted his sheets done, and he would strip his own bed."


This is why Trump really eats so much McDonald's
799b6e9e74cfe558f7247fff89ea639e.jpg


Fear of poison is apparently a reason Donald Trump likes McDonald's
 
Duh hadi presdaa wa dunia anaokopa kuwekewa sumu...
Hii mpya
Ngoja nitafute muda nikisome hicho kitabu
 
Back
Top Bottom