USA hawana Rais bali shetani!

USA hawana Rais bali shetani!

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Huyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA!

Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu shetani atakuwa salama?!

Binafsi naamini huyu atakuwa mtawala wa awamu moja.Hata wao wana USA wanajutia kabisa kuwa na mtawala km yule!

Na nyinyi waafrika achaneni na huyo mtu wa ajabu. Utakutana viwa na siasa uchwara kutwa kuchwa kazi kujipendekeza kulaumu Africa yetu ili tu vipate maslahi yao ya siasa!

Haya sasa jamaa kawaita ninyi choo.Rudini tena Nairobi mkaongee na vyombo vya habari mmuombe msaada!
 
Amesema Kweli jengeni chumi zenu acheni kwenda kudandia uchumi wa marekani
 
Huyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA!

Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu shetani atakuwa salama?!

Binafsi naamini huyu atakuwa mtawala wa awamu moja.Hata wao wana USA wanajutia kabisa kuwa na mtawala km yule!

Na nyinyi waafrika achaneni na huyo mtu wa ajabu. Utakutana viwa na siasa uchwara kutwa kuchwa kazi kujipendekeza kulaumu Africa yetu ili tu vipate maslahi yao ya siasa!

Haya sasa jamaa kawaita ninyi choo.Rudini tena Nairobi mkaongee na vyombo vya habari mmuombe msaada!
Yuko sahihi kabisa ni mda muafaka nchi za Africa kuboresha nchi zao ili watu wabaki kwenye nchi zao.kila MTU anataka kwenda ulaya na marekani.
Tatizo mkiambiwa ukweli hamtaki.
 
hebu leta sifa za shetani tuzioanishe na trump,tuone zimefika asilimia ngapi ili tumrasimishe rasmi kuwa ni shetani na anaowaongoza ni ma...ni na they are trust in god.
 
Kwahiyo wakuu tunaamuaje kuhusu D.T...!!!

Hali zetu zinatushinda sasa mnataka kupumzikia kwa D.T [emoji1312][emoji1306][emoji1306]
 
Huyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA!

Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu shetani atakuwa salama?!
Ni kweli kabisa; tuachane na mtu huyu wa ajabu tuwe upande wa huyu: GABON: Wabunge wabadilisha katiba na kuondoa ukomo wa Rais kwa mihula huku upinzani ukipinga Mkiambiwa "shithole" mnang'aka! That's the reality! Matendo yenu yanawafanya muwe hivyo.
 
Ukweli mtupu.shetani yuko Africa.ukimwi Africa.ebora Africa.umaskini Africa.malaria Africa.biashara ya utumwa Africa.ujinga uko Africa.haihitajiki digree kujua ukweli wa alichokiongea trump.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom